Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa na sauti nzuri sana, alikuwa akitoa matangazo ya tamthiliya za it might be you miaka ya 2009 wakati huo nazifagilia za mtindo huo.
Mkuu unamzungumzia Barghash sultan wa Zanzibar!!? Ama!!!?
Akina John Lloyd Cruz aka Lawrence na Bea Alonzo aka CieloHyo tamthilia NI Noma Sanaa.
Akina John Lloyd Cruz aka Lawrence na Bea Alonzo aka Cielo
Kuna mdau mmoja hapo anasema tuheshimu privacy. Yaani marehemu awe Na thamani kuliko walio hai.Dooh inasikitisha sana,pole kwa rafiki yako!! Inabidi waanikwe kwenye websites za nje na sio za ndani maana kwa ndani lazima rungu la TCRA litahusika lakini web za kenya hawazuiliwi.
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]InnaLILLAHI...
Kuna kipindi alikuwa anatembea na mama moja lipo pale kwa OMR alishaunguaga yule dada nilijua jamaa hatotoka salama maana wengi waliopita pale waliondoka
Wametukataza tusiseme "kifo cha ghafla" maana eti mbona tukitongoza wakatupa ghafla mbona hamsemi?Ni kifo cha ghafla au ni pneumonia?
Ok asante sana kwa kunitoa tongo tongo
Kuna mdau mmoja hapo anasema tuheshimu privacy. Yaani marehemu awe Na thamani kuliko walio hai.
Information is power.
Kama kuna wanaojulikana kuuganishia wenzao umeme wanatakiwa kuwekwa wazi watu wajihadhari. Sheria yenyewe inayohusu kuwashitaki wanaoambukiza makusudi zimetungwa.
NB: Mzee wa kutandaza miti ukifanikisha,condom tano.
Kuna mdau mmoja alitoa maoni, afrika maiti inapendwa kuliko mgonjwa, bado tuna safari...Kuna mdau mmoja hapo anasema tuheshimu privacy. Yaani marehemu awe Na thamani kuliko walio hai.
Information is power.
Kama kuna wanaojulikana kuuganishia wenzao umeme wanatakiwa kuwekwa wazi watu wajihadhari. Sheria yenyewe inayohusu kuwashitaki wanaoambukiza makusudi zimetungwa.
NB: Mzee wa kutandaza miti ukifanikisha,condom tano.
UVCCM bhana!!!!!Tunakuombea kwa mola nawe upate pneumonia ili wengine nao waulize hilo swali.
Acheni kufanya watu hata wakaogopa kuzika ndugu zao kisa Corona
"Katika mji wa montegacia siasa...............wakati Laurence........."Nakumbuka kipind kile cha zile. Drama za uphillipino za. PANGAKO SAYOOO , .THE PROMISE MWAMBA ALIKUWA MTANGAZAJI HATARIIII .KWENYE UP NEXT. RIP .NGULI.....
Asemacho mtu kiko akilini mwake. Aliyetamka haya amezoea kutongoza ghafla ghafla.Wametukataza tusiseme "kifo cha ghafla" maana eti mbona tukitongoza wakatupa ghafla mbona hamsemi?
May His Soul RIP