kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
chapombe yule...ukimuona muonekano wake utadhani kidingi cha 50s.Wapi Amo Blaze!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chapombe yule...ukimuona muonekano wake utadhani kidingi cha 50s.Wapi Amo Blaze!
huyu jamaa ni vegeterian tukubali tukatae mwili unawahi kuchoka sana kwa ku digest nyama,pia ni mtu wa kutembea sana anapokuwa katika harakati zake za kila sikuBaba T ...
View attachment 662096
ulaji wa nyama sana na ngono za mara kwa mara zinachosha sana,mwili unatumia calories nyingi sana ku digest nyama mpaka iwe rahisi kuwa absorbable kuliko samaki na mbogambogaBaba T ni vegetarian toka enzi za ujana wake tangu alipoanza kujihusisha na imani ya ki-rastafarian.
ni kawaida kwa vegetarians kuzeeka huku wakiwa bado na utimamu wa kimwili na akili.
kuna uhusiano mkubwa sana kati ya vyakula tunavyokula na utimamu wa kimwili.
hivi zile mboga za Arusha ni nzuri kwa mwili piaBaba T ...
View attachment 662096
thanks too broThanks man ...long live Legend
hahaha kuna haja hiyo mkuu,mi nimejaribu kuwa vegeterian ila mbuzi siku zote alifanikiwa kulifanya zoezi gumuSie wazee wa mbuzi inabidi tubadilike sasa ....
Inawezekana Tegeta ilikuwa ngome ya Rastafarian kwa mwendo huu ...Huyu mzee kama sikosei ni mjamaika(Jamaican) kama yule aliekuwa mwalimu/professor wa mlimani shule ya biashara (UDBS) ambae alikuwa mkazi wa Tegeta na mdhamini wa timu ya soka mtaani kwake.
Yule Prof alikuwa kati ya ma-rastararian waliotoka Jamaica na kuahamua kurudi nyumbani Afrika wakati ule kuna movement ikiongozwa na mafundisho ya Marcus Gavey na Dubois wazee wa Pan Africanism.
Back then when I was deeply into rastafarian washirika walikuwa wanakutana kule Tegeta wanatafakari.
Huko unakutana na rastafariani kila aina, wasomi na wasio wasomi, na wenye upara lakini kiimani ni rastafarian.
Wengine wana nywele za kawaida lakini rohoni ni rastafarian.
Yule prof wa UDSM walikutana na Nyerere huko ndo akamuomba aje afundishe chuo kikuu cha mlimani. Kupitia yeye marastafatiani wakapewa eneo kubwa sana huko kigoma na dsm....ambapo sasa eneo la dar limefikia thamani ya bilion kadhaa hii imefanya baadhi ya marasta wenye tamaa kuanza kuwashawishi wenzao wauze hilo eneo la darHuyu mzee kama sikosei ni mjamaika(Jamaican) kama yule aliekuwa mwalimu/professor wa mlimani shule ya biashara (UDBS) ambae sasa ni marehemu alikuwa mkazi wa Tegeta na mdhamini wa timu ya soka mtaani kwake.