Mtangazaji na DJ wa East Africa Radio, Baba T atimiza miaka 81

Mtangazaji na DJ wa East Africa Radio, Baba T atimiza miaka 81

Baba T ni vegetarian toka enzi za ujana wake tangu alipoanza kujihusisha na imani ya ki-rastafarian.

ni kawaida kwa vegetarians kuzeeka huku wakiwa bado na utimamu wa kimwili na akili.

kuna uhusiano mkubwa sana kati ya vyakula tunavyokula na utimamu wa kimwili.
nyama nyekundu zinaua mwili
 
Leo nimeonana naye asubuhi nyumbani kwake Tegeta Nyaishozi.Nimemkuta anaongea na kijana mmoja wa pale.Alikuwa anamshauri aache kuvuta bangi.
Kanifurahisha mno.Watu wengi hufikiri most of the rasta man wapenda na kutumia hiyo kitu.
 
6a1946457dcb7a22a3181178d6641df0.jpg
 
Rafiki yangu sana ambaye kila nikiongea nae anamdis sana Bob Marley. Lakini Baba T hadi leo bado hajui kabisa kiswahili
 
Leo nimeonana naye asubuhi nyumbani kwake Tegeta Nyaishozi.Nimemkuta anaongea na kijana mmoja wa pale.Alikuwa anamshauri aache kuvuta bangi.
Kanifurahisha mno.Watu wengi hufikiri most of the rasta man wapenda na kutumia hiyo kitu.
Baba T hatumii hii kitu?
 
duh!! kumbe baba t ana 81?? hbd to him asee,,af huwa ni mtanzania au mjamaika??
 
Back
Top Bottom