Mtangazaji na DJ wa East Africa Radio, Baba T atimiza miaka 81

Duuuh! mbona kama sitaki kuamini hivi, haijatungwa hii kweli?
Anyway happy bday dj mkongwe zaidi Tz.
 
ulaji wa nyama sana na ngono za mara kwa mara zinachosha sana,mwili unatumia calories nyingi sana ku digest nyama mpaka iwe rahisi kuwa absorbable kuliko samaki na mbogamboga
 
Amewahi kufanya kazi na Bob marley enzi za uhai wake bob na alikuwa rafiki mkubwa wa Gregory Isaacs Rip cool ruler.
Kuwataja wachache, list ni ndefu.
Rip Professor J. Nkululi nuf nuf respec man.
Reginald Mengi nuf nuf respec man
 
Almost 7yrs ago nilikutana nae redcross pale anavuka barabara akitembea kwa ukakamavu kwa miguu kama kijana wa 43yrs.

Mkononi kashika fimbo kama nabii Musa huku kavaa suti ya blue mikono mifupi kama sare ya dereva daladala.
 
ulaji wa nyama sana na ngono za mara kwa mara zinachosha sana,mwili unatumia calories nyingi sana ku digest nyama mpaka iwe rahisi kuwa absorbable kuliko samaki na mbogamboga
Sie wazee wa mbuzi inabidi tubadilike sasa ....
 
Huyu mzee kama sikosei ni mjamaika(Jamaican) kama yule aliekuwa mwalimu/professor wa mlimani shule ya biashara (UDBS) ambae sasa ni marehemu alikuwa mkazi wa Tegeta na mdhamini wa timu ya soka mtaani kwake.

Yule Prof alikuwa kati ya ma-rastararian waliotoka Jamaica na kuamua kurudi nyumbani Afrika wakati ule kuna movement ikiongozwa na mafundisho ya Marcus Gavey na Dubois wazee wa Pan Africanism.

Back then when I was deeply into rastafarian washirika walikuwa wanakutana kule Tegeta wanatafakari.
Huko unakutana na rastafariani kila aina, wasomi na wasio wasomi, na wenye upara lakini kiimani ni rastafarian.
Wengine wana nywele za kawaida lakini rohoni ni rastafarian.
 
Inawezekana Tegeta ilikuwa ngome ya Rastafarian kwa mwendo huu ...
 
Yule prof wa UDSM walikutana na Nyerere huko ndo akamuomba aje afundishe chuo kikuu cha mlimani. Kupitia yeye marastafatiani wakapewa eneo kubwa sana huko kigoma na dsm....ambapo sasa eneo la dar limefikia thamani ya bilion kadhaa hii imefanya baadhi ya marasta wenye tamaa kuanza kuwashawishi wenzao wauze hilo eneo la dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…