Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
nyama nyekundu zinaua mwiliBaba T ni vegetarian toka enzi za ujana wake tangu alipoanza kujihusisha na imani ya ki-rastafarian.
ni kawaida kwa vegetarians kuzeeka huku wakiwa bado na utimamu wa kimwili na akili.
kuna uhusiano mkubwa sana kati ya vyakula tunavyokula na utimamu wa kimwili.
Asee hili kweli ni jambo kubwa. 81years huyu ni lulu akitumika vizuri.
Baba T hatumii hii kitu?Leo nimeonana naye asubuhi nyumbani kwake Tegeta Nyaishozi.Nimemkuta anaongea na kijana mmoja wa pale.Alikuwa anamshauri aache kuvuta bangi.
Kanifurahisha mno.Watu wengi hufikiri most of the rasta man wapenda na kutumia hiyo kitu.
Anamdis Bob kwa sababu gani?Rafiki yangu sana ambaye kila nikiongea nae anamdis sana Bob Marley. Lakini Baba T hadi leo bado hajui kabisa kiswahili
Anasema alikuwa mbinafsi sanaAnamdis Bob kwa sababu gani?
Siku hizi Ni mchanaMpaka nimeshangaa..81?
Nakumbuka sauti yake iliyotulia. Kipindi kilikuwa jioni
Hizo Ni story za kwenye kahawaMbona nasikia Baba T ni Mchagga aisee....au nililishwa tango pori?Hebu tupeni verification..huyu ni mtu muhimu sana TZ hii.
Hizo Ni story za kwenye kahawa
Baba T is Jamaican