Mtangazaji na DJ wa East Africa Radio, Baba T atimiza miaka 81

Kuwa vegetarian kumbe inalipa sana! Ngoja na mm nianze.
 

Ngoja niongezee chachandu.

 


Shukrani kwa maelezo Mkuu.
 
Mkuu Mtazamo, thanks kwa hii kitu, nilipoingia tasnia ya utangazaji, Jamaa nilimkuta RTD 90s na milimuacha 1995 nilibranch kwenye TV, mpaka leo bado yupo, and still going strong, Jamaa ni Rastafarian, pure vegetarian, anakula natural foods anazolima mwenyewe, hanywi pombe, na he exercise a lot, daily anatembea on foot to and from job!.
HBD Baba T.
P.
 
Kulikuwa na mtangazaji Magic FM alikuwa anapiga reggae za hatari sikumbuki jina vizuri alikuwa anaitwa sijui Kaluta, sijui Warioba simkumbuki.

Alikuwa anapenda sana msemo wa "Who feels knows it"
Anasema "Ukienda sehemu ukikuta watu wana abudu mawe na wewe una abudu mawe hata kama sio imani yako" lengo ni kuendana na jamii au mazingira husika.

Naomba mdau anaelijua jina lake yule mtangazaji /Dj anikumbushe.
 
MTAZAMO,
Nasikia yeye huwa anatembea kwa miguu tu kutoka kwake Salasala hadi ITV na ndio siri ya umri mkubwa lakina anaonekana wa miaka 60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…