TANZIA Mtangazaji nguli, Baba T wa East Africa Radio afariki dunia

Nadhan kuna uzi humu unamuelezea. Ni mjamaica ila aliishi Bongo kutokana na ile Back to Africa movement so yeye alichagua Tanzania. Ni kwa mujibu wa huo uzi.
Walikuwa na kina Marehemu Joshua Mkhululi Aka Ken Edwards. Alikuwa Anafundisha Chuo Arusha...That Man acha Tuu. Tz ilimfanyia Figisu licha ya Uzalendo wa Hali Ya Juu aliokuwa Nao
 
Ni kweli mkuu. Ni mtanzania kutoka Jamaica.
Niliwahi kufika kwake, ni mzee poa Sana.
R.I.P rastaman.
si kweli maana hadi mwezi ulopita alikuwa anataka kuhamia Ghana. Katika maisha yake hakukubali kuwa Mtanzania. Alikuwa rafiki wangu wa karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…