Huyu Ken Edwards ndo yule mzee rasta alikuwa anafanya sana jogging though ni mtu mzima sana?. Arusha hiyoWalikuwa na kina Marehemu Joshua Mkhululi Aka Ken Edwards. Alikuwa Anafundisha Chuo Arusha...That Man acha Tuu. Tz ilimfanyia Figisu licha ya Uzalendo wa Hali Ya Juu aliokuwa Nao
Ni mjamaika alikuja na wajamaika wenzake miaka ya Nyerere na waziri mkuu Michael Manley wa Jamaika walipokuwa wauumini wazuri wa Pan africanism, kipindi hicho hata wamarekani weusi wengi walihamia nchini,kuna walimu kama Walter Rodney, Prof Joshua Mkhululi , ndio akina Baba T na wenzake nawakumbuka hawa walikuwa na mgari wao kama wa kijeshi walikuwa wanaishi Mbezi Beach enzi hizo ikiwa pori na pia walikuwa na kikundi cha muziki wa reggea hawa waliwahamasisha Watanzania wengi kuwa marasta na pia walikuwa na falsafa ya kujitegemea na kuishi maisha ya kawaida sana, na walikuwa na uafrika ndani yao,hawa ndio waliofanya hata vijana marasta wa madale kuanzisha kijiji chao Madale na baadae wakahamia kijiji cha Mbigiri Morogoro kufanya shughuli za kilimo. Kule mbozi bado kuna wamarekani weusi, kule Kimara kulikuwa pia na wamrekani weusi kama Little John wa Kimara mwisho huyu alikuwa na bucha kubwa na ya kisasa sana lakini washwahili waliokuwa wafanyakazi wake wakamchomea utambi kwa mamlaka ili waitwae bucha yake na wakafanikiwa lakini kama ilivyo kwa washwahili wao kwa wao wakaanza kugombana na bucha ikafa na mali kupotea.Huyu ni mbongo mbona naonaga Kama ni mjamaika kutokana na ngeli yake
Unaandika vitu gani hivi?
Hizi lugha za jangwani zinatamalaki sana siku hizi. Serikali inabidi liangalie hili swala kwa jicho la tatu ma kuingilia kati kwa kulishinikiza bunge itunge sheria ya dharura haraka sana kudhibiti hizi lugha before it's too late!Mwanamajumui wa Afrika.....
Inna lillahi wainna illayhi rrajiuun!
Barukh atah Adonai Eloheinu melekh ha'olam dayan ha'emet 🙏🙏🙏
Ujinga mzigo.....
Hivi unakuwaje na balozi wako aliye uarabuni asiyejua kiarabu?!!!😳
Hivi unakuwaje na balozi wako aliye Israel asiyejua Yiddish ?!!! 😳😳🤣🤣
Duuh yaani ndio akili zetu hizi?!!! 🤣🤣🤣
SIEMPRE JMT
Huyu Ken Edwards ndo yule mzee rasta alikuwa anafanya sana jogging though ni mtu mzima sana?. Arusha hiyo
Mashairi yanapiga Kama Bruce leeKumbe Baba T aliyetajwa na Fid Q ndio, huyu.
Rasta Kama Baba t.
🤣Mzee alikuwa amfagilii Bob Marley.. anasema Bob alikuwa mbinafsi sana na mpenda sifa na mchoyo
🤣Mashairi yanapiga Kama Bruce lee
Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya EastAfrica, Baba T amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa.
View attachment 2007115
RIP JAH RAS TAFAR I
Ni Mjamaica ila amekaa sana Tanzani tangu enzi za baba wa TaifaHuyu ni mbongo mbona naonaga Kama ni mjamaika kutokana na ngeli yake
Asante sana. Vpi rambirambi sasa?😀😀Poleni sana wafiwa
RIP BABA TAliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya EastAfrica, Baba T amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa.
View attachment 2007115