Said Shabani Kondo
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 312
- 196
Kufa usifiwe. R i p Baba TAliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya EastAfrica, Baba T amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa.
View attachment 2007115
Bob alikua ana sema hawezi mnyima mwanamke furaha ana watoto 16It's undisputable fact that Bob Marley pamoja na kuomba nyimbo zenye ujumbe wa kirasta na kusaidia ukombozi wa Africa na mwafrika ikiwemo kuweka Jamaica kwenye ramani ya dunia kwenye music wa reggae, bado Bob alikuwa na Mambo yake Kama mwanadamu ambayo asingeweza kuwafurahisha kila mtu lakini alifanya alichoweza kwa nafasi yake ikiwemo kutembelea nchinza afrika kwenye mapambano ya kudai Uhuru.
So ukiangalia Kuna kaukweli Ila wao walitegemea awasaidie vipi? Sema jamaa alikuwa Malaya sana kagonga.mademi wa kizungu balaa sijui ana watoto wangapi?
True hata pale East Africa radio aliacha kufanya kazi sababu ya vibali vya kazi hii nchi ni ya hovyo sana mtu kaishi zaidi ya miaka 50 lkn bado wanamletea ugumu, nchi yenyewe masikini sijui tungekua kama US ingekuaje
Hii sura kama nilikuwa naiona Arusha miaka ya 97+ mpaka 2000+Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya EastAfrica, Baba T amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa.
Pia soma > Mtangazaji na DJ wa EA Radio, Baba T atimiza miaka 81
Ni Jamaican, Ana uaraia wa Tanzania wa kuasiliwa.Huyu ni mbongo mbona naonaga Kama ni mjamaika kutokana na ngeli yake
Alikuwa noma maana alifariki akiwa 36 Sasa watoto 16 kwa umri huo alitumia vizuri makende zake 😃😃😃😃 angefanikiwa uhai mpaka sasa angekuwa na watoto kama 35 😃😃😃Bob alikua ana sema hawezi mnyima mwanamke furaha ana watoto 16
Nyumba yake iko pembeni ya Nyamachabes pale Nyaishozi, Tegeta!R.I.P
Ova
Hata mimi ningekua na pesa ningezaa watoto wengi, legacy ya Bob itadumu kwa mda mrefu angalia Michael Jackson alivyo acha msiba mda si mrefu history yake itafutikaAlikuwa noma maana alifariki akiwa 36 Sasa watoto 16 kwa umri huo alitumia vizuri makende zake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] angefanikiwa uhai mpaka sasa angekuwa na watoto kama 35 [emoji2][emoji2][emoji2]
Muulize Steve Nyerere, au hapa kwa mjamaika hajatia mguu sababu hakuna Kiswahili bali ni ngeli tu ya Kijamaika(Jamaican Patois/Patwa?Asante sana. Vpi rambirambi sasa?😀😀
Kiswahili cha siku hizi hakieleweki, kwa mfano hasira wenyewe wanaandika asira, hapana wanaandika apanaa(akina Mkojani wanaharibu sana lugha), halafu wanaandika alafu, hatari wanaandika atali....amfagilii.. unamaanisha nini?
Na hata akina Ulimwengu,Assosa, marehemu RemiWalimuonea tu mbona kina Sebbo wanafanya kazi TZ tu kwa muda mrefu.
Weee!ahsante studio...RIP BABA YAKE NA DAZ BABA...MSIOJUA HUYU NDIYE BABA YAKE NA DAZ BABA AU DAZ MWALIMU
Sio rahisi. MJ bado anaongoza kwa umaarufu na kutengeneza pesa kila mwaka licha ya kufa zaidi ya miaka 10.Hata mimi ningekua na pesa ningezaa watoto wengi, legacy ya Bob itadumu kwa mda mrefu angalia Michael Jackson alivyo acha msiba mda si mrefu history yake itafutika