Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Inashangaza mtu anapotegemea Clouds Fm iwe kama TBC Fm.......Clouds TV iwe kama CNN.
Mimi alipo ondoka hapo Clouds nilipata wasaha wakusikiliza Clouds FM hasa kwenye uchambuzi wa magazeti kwakweli sijaona sababu ya kumrudisha zaidi ya kuona tuu wanashindwa kuwaamini watangazaji wao..jamaa walio kuwepo walikuwa wanafanya vyema tuu na wanachambua vizuri..Daaah
We jamaa umeongea jambo la maana sana
Huwa najiuliza kwani hao EA radio huwa wana wezaje
Yaani kinatoka kitu kina ingia kitu
Ni suala la work ethics hasa hasa hapo nadhani
Na kipindi kikisha kuwa na producer mkali hata nikienda mimi ana nitengeneza ni fit na pindi lina songa
Aiseeee ruge anaweza mwaga chozi hapaMbona wazee wa mji tushajua EFM wamemnyakua Millard Ayo...hiyo inaitwa weka ugoko niweke jiwe.
Kama ulikuwa akilini mwangu aseeeeDah... wangekuwa na akili ya kujitambua wangeanzisha radio yao
Choice fmJamani Gigy Money anatangaza redio gani?
Tatizo hilo wazo hawana wanawaza leo na sio keshoHata hawa kina fella, babu tale na sallam wanatakiwa kujenga misingi kwa maendeleo ya mziki wa Tanzania hasa kimataifa. Ili isitokee siku wakifulia/ kufariki watu waanze moja kutafuta channel za kimataifa. Kuna wasanii wengi wazuri wanatakiwa kufika level za kimataifa pia kuna mameneja wengi wazuri wanaohitaji soko la mataifa kuwasaidia waTz
Utakuta wanaongea kujiajiri kila sikuWengine wamezaliwa kutumwa tu maisha Yao yote.
Kipi hicho?kuna kitu kikubwa clouds wanafanya ambacho radio pinzani hawajakitambua bado
Sema Ruge kwani sindio jina lake usiwe mtumwa Kwa kila jamboBoss Runge si mtu wa mchezo mchezo! E fm tunaenda kuizika rasmi tar 1 mwezi wa kwanza 2017! Adela Tilya kuna maogezi yanafanyika na pale E sport kuna watu watu wanatakiwa kuchukuliwa hapo kabla ya mwezi wa 2 mwakani haha!!
Alizoea kuwachukulia Ea radio sasa nadhani amepata wa kumchallangeHii inadhihirisha clouds fm wamefikwa na maji shingoni Ruge analala anaota ndoto ya kutisha kuhusu EFM...big up EFM endelea kumkimbiza mwizi kimya kimya hadi mwaka uishe clouds watazima mitambo
Radio ni za IPP kama unataka kupata taarifa na weledi wa watangazajiHaya ndio matatizo ya kuwekeza kwa watu badala ya kuwekeza kwenye kipindi..Clouds walitakiwa kuwaamini watu hasa walio wakabidhi kipindi na wangewapa muda kuliko kuhangaika name mtu mmoja..! Walitakiwa kuwaamini wanao soma magazeti na ikiwezekana wawafundishe si lazima wafanye kama PJ lakini wanaweza fundishwa jinsi ya kusoma magazeti na kuchambua..
Media zinaangaishwa na mtangazaji mmoja badala ya kukuza walio nao ili kesho kama Fulani hayupo basi mwingine anachukua nafasi.
Mimi naamini baadhi ya media zinapaswa kujifunza kwa IPP maana wao wanawekeza kwenye vipindi zaidi na wanajua kuamini watu na kuwapa nafasi ndio maana tunaona wengi wanachukua watangazaji toka kwao maana wanajua kukuza vipaji na hawaamini kipindi kinaweza kufa kisa fulani kaondoka....nop.
We jamaa ningekuona ningekupa zawadi,yaani hawa jamaa wanajua maadili ya kazi sio kama mkanjanja haoDaaah
We jamaa umeongea jambo la maana sana
Huwa najiuliza kwani hao EA radio huwa wana wezaje
Yaani kinatoka kitu kina ingia kitu
Ni suala la work ethics hasa hasa hapo nadhani
Na kipindi kikisha kuwa na producer mkali hata nikienda mimi ana nitengeneza ni fit na pindi lina songa
Wanaangalia swag kuliko content hapo ndio shidaMimi alipo ondoka hapo Clouds nilipata wasaha wakusikiliza Clouds FM hasa kwenye uchambuzi wa magazeti kwakweli sijaona sababu ya kumrudisha zaidi ya kuona tuu wanashindwa kuwaamini watangazaji wao..jamaa walio kuwepo walikuwa wanafanya vyema tuu na wanachambua vizuri..
Kinacho waponza Clouds na E FM wamejikita kuwekeza kwenye witu kuliko kuwekeza zaidi kwenye content ya vipindi na maudhui.
lazima media zibadilike na ziwe na utaratibu wa kuandaa witu wao na kuwaamini.
Mimi nimekuwa nikiwatolea mfano IPP kwakuwa ni ukweli wamekuwa wakitoa nafasi kwa watangazaji wao bila kujali ana jina au lah..
waliondoka Kennedy na mamy baby lakini kipindi hakikufa..kaja binti anaitwa queen fif kipindi kimerudi kwenye moto...
juzi nilikuwa naangalia e-news kuna binti wamemuweka unaitwa Suzy hakika nikaamini wanajua kutoa nafasi..yule binti anajua sana...
ukisikiza e-drive kuna binti anaitwa scola ana kipaji balaa na kipindi kina contents nzuri sana..
media zimeendekeza ushamba wa Kugombea watangazaji baada ya kuwezesha walio nao na ndio maana wana walingia na kuwasumbua..
Haya ndio matatizo ya kuwekeza kwa watu badala ya kuwekeza kwenye kipindi..Clouds walitakiwa kuwaamini watu hasa walio wakabidhi kipindi na wangewapa muda kuliko kuhangaika name mtu mmoja..! Walitakiwa kuwaamini wanao soma magazeti na ikiwezekana wawafundishe si lazima wafanye kama PJ lakini wanaweza fundishwa jinsi ya kusoma magazeti na kuchambua..
Media zinaangaishwa na mtangazaji mmoja badala ya kukuza walio nao ili kesho kama Fulani hayupo basi mwingine anachukua nafasi.
Mimi naamini baadhi ya media zinapaswa kujifunza kwa IPP maana wao wanawekeza kwenye vipindi zaidi na wanajua kuamini watu na kuwapa nafasi ndio maana tunaona wengi wanachukua watangazaji toka kwao maana wanajua kukuza vipaji na hawaamini kipindi kinaweza kufa kisa fulani kaondoka....nop.