Mtangazaji Paul James 'PJ' arejea Clouds FM

Inashangaza mtu anapotegemea Clouds Fm iwe kama TBC Fm.......Clouds TV iwe kama CNN.

Go figure!

Sijawahi kusikia watu wakiitegemea NY's Power105.1 FM kuwa ndo paragon of virtue.

Mimi suala la maadili ni langu binafsi. Watu wangu wa karibu nitawafunza, nitawashauri, na nitajaribu kuwaongoza mimi mwenyewe.
 
Hizi zote ni radio moja au kampuni moja, mleta mada pia anafanya promo, wanazijenga brand mbili tofauti hapo yaani efm na cloudsfm
 
Daaah
We jamaa umeongea jambo la maana sana
Huwa najiuliza kwani hao EA radio huwa wana wezaje
Yaani kinatoka kitu kina ingia kitu
Ni suala la work ethics hasa hasa hapo nadhani
Na kipindi kikisha kuwa na producer mkali hata nikienda mimi ana nitengeneza ni fit na pindi lina songa
Mimi alipo ondoka hapo Clouds nilipata wasaha wakusikiliza Clouds FM hasa kwenye uchambuzi wa magazeti kwakweli sijaona sababu ya kumrudisha zaidi ya kuona tuu wanashindwa kuwaamini watangazaji wao..jamaa walio kuwepo walikuwa wanafanya vyema tuu na wanachambua vizuri..

Kinacho waponza Clouds na E FM wamejikita kuwekeza kwenye witu kuliko kuwekeza zaidi kwenye content ya vipindi na maudhui.
lazima media zibadilike na ziwe na utaratibu wa kuandaa witu wao na kuwaamini.

Mimi nimekuwa nikiwatolea mfano IPP kwakuwa ni ukweli wamekuwa wakitoa nafasi kwa watangazaji wao bila kujali ana jina au lah..

waliondoka Kennedy na mamy baby lakini kipindi hakikufa..kaja binti anaitwa queen fif kipindi kimerudi kwenye moto...

juzi nilikuwa naangalia e-news kuna binti wamemuweka unaitwa Suzy hakika nikaamini wanajua kutoa nafasi..yule binti anajua sana...

ukisikiza e-drive kuna binti anaitwa scola ana kipaji balaa na kipindi kina contents nzuri sana..
media zimeendekeza ushamba wa Kugombea watangazaji baada ya kuwezesha walio nao na ndio maana wana walingia na kuwasumbua..
 
Nilivyoona EFM nao weingia kwenye siasa za kuchukua makapi ya clouds FM ilijishushia hadhi kwa kiwango cha lami
 
Hata hawa kina fella, babu tale na sallam wanatakiwa kujenga misingi kwa maendeleo ya mziki wa Tanzania hasa kimataifa. Ili isitokee siku wakifulia/ kufariki watu waanze moja kutafuta channel za kimataifa. Kuna wasanii wengi wazuri wanatakiwa kufika level za kimataifa pia kuna mameneja wengi wazuri wanaohitaji soko la mataifa kuwasaidia waTz
Tatizo hilo wazo hawana wanawaza leo na sio kesho
 
watangazaji na wamiliki wa radio hizo ni wahuni tu ngoja niendelee kubaki na mzee mengi milele.
 
Boss Runge si mtu wa mchezo mchezo! E fm tunaenda kuizika rasmi tar 1 mwezi wa kwanza 2017! Adela Tilya kuna maogezi yanafanyika na pale E sport kuna watu watu wanatakiwa kuchukuliwa hapo kabla ya mwezi wa 2 mwakani haha!!
Sema Ruge kwani sindio jina lake usiwe mtumwa Kwa kila jambo
 
Efm ni sehemu ya kupumzikia watangazaji wa Clouds.

Simply a roost for every bird.
 
Hii inadhihirisha clouds fm wamefikwa na maji shingoni Ruge analala anaota ndoto ya kutisha kuhusu EFM...big up EFM endelea kumkimbiza mwizi kimya kimya hadi mwaka uishe clouds watazima mitambo
Alizoea kuwachukulia Ea radio sasa nadhani amepata wa kumchallange
 
Haya ndio matatizo ya kuwekeza kwa watu badala ya kuwekeza kwenye kipindi..Clouds walitakiwa kuwaamini watu hasa walio wakabidhi kipindi na wangewapa muda kuliko kuhangaika name mtu mmoja..! Walitakiwa kuwaamini wanao soma magazeti na ikiwezekana wawafundishe si lazima wafanye kama PJ lakini wanaweza fundishwa jinsi ya kusoma magazeti na kuchambua..

Media zinaangaishwa na mtangazaji mmoja badala ya kukuza walio nao ili kesho kama Fulani hayupo basi mwingine anachukua nafasi.

Mimi naamini baadhi ya media zinapaswa kujifunza kwa IPP maana wao wanawekeza kwenye vipindi zaidi na wanajua kuamini watu na kuwapa nafasi ndio maana tunaona wengi wanachukua watangazaji toka kwao maana wanajua kukuza vipaji na hawaamini kipindi kinaweza kufa kisa fulani kaondoka....nop.
Radio ni za IPP kama unataka kupata taarifa na weledi wa watangazaji
 
Daaah
We jamaa umeongea jambo la maana sana
Huwa najiuliza kwani hao EA radio huwa wana wezaje
Yaani kinatoka kitu kina ingia kitu
Ni suala la work ethics hasa hasa hapo nadhani
Na kipindi kikisha kuwa na producer mkali hata nikienda mimi ana nitengeneza ni fit na pindi lina songa
We jamaa ningekuona ningekupa zawadi,yaani hawa jamaa wanajua maadili ya kazi sio kama mkanjanja hao
 
Mimi alipo ondoka hapo Clouds nilipata wasaha wakusikiliza Clouds FM hasa kwenye uchambuzi wa magazeti kwakweli sijaona sababu ya kumrudisha zaidi ya kuona tuu wanashindwa kuwaamini watangazaji wao..jamaa walio kuwepo walikuwa wanafanya vyema tuu na wanachambua vizuri..

Kinacho waponza Clouds na E FM wamejikita kuwekeza kwenye witu kuliko kuwekeza zaidi kwenye content ya vipindi na maudhui.
lazima media zibadilike na ziwe na utaratibu wa kuandaa witu wao na kuwaamini.

Mimi nimekuwa nikiwatolea mfano IPP kwakuwa ni ukweli wamekuwa wakitoa nafasi kwa watangazaji wao bila kujali ana jina au lah..

waliondoka Kennedy na mamy baby lakini kipindi hakikufa..kaja binti anaitwa queen fif kipindi kimerudi kwenye moto...

juzi nilikuwa naangalia e-news kuna binti wamemuweka unaitwa Suzy hakika nikaamini wanajua kutoa nafasi..yule binti anajua sana...

ukisikiza e-drive kuna binti anaitwa scola ana kipaji balaa na kipindi kina contents nzuri sana..
media zimeendekeza ushamba wa Kugombea watangazaji baada ya kuwezesha walio nao na ndio maana wana walingia na kuwasumbua..
Wanaangalia swag kuliko content hapo ndio shida
 
Pale Iringa kuna jamaa anaitwa Edo hua namkubali sana kwa style yake.. Media ziende mkoani kuna vipaji vingi ziachane na ma al-watan wa Darisalama
 
Haya ndio matatizo ya kuwekeza kwa watu badala ya kuwekeza kwenye kipindi..Clouds walitakiwa kuwaamini watu hasa walio wakabidhi kipindi na wangewapa muda kuliko kuhangaika name mtu mmoja..! Walitakiwa kuwaamini wanao soma magazeti na ikiwezekana wawafundishe si lazima wafanye kama PJ lakini wanaweza fundishwa jinsi ya kusoma magazeti na kuchambua..

Media zinaangaishwa na mtangazaji mmoja badala ya kukuza walio nao ili kesho kama Fulani hayupo basi mwingine anachukua nafasi.

Mimi naamini baadhi ya media zinapaswa kujifunza kwa IPP maana wao wanawekeza kwenye vipindi zaidi na wanajua kuamini watu na kuwapa nafasi ndio maana tunaona wengi wanachukua watangazaji toka kwao maana wanajua kukuza vipaji na hawaamini kipindi kinaweza kufa kisa fulani kaondoka....nop.

Kweli kaka
 
Back
Top Bottom