TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Word.....!
 
CMG wanapitia wakati mgumu sana, mtoto wa marehemu sheikh yahya aliyatabiri haya.
.
"Mwaka huu watafariki watu maarufu sana hivyo wajitahadhari mno"
"Na waliokuwa wanaonekana wanaanguka ndiyo watakaoamka kijana ommy dimpoz atafanya makubwa sana mwaka huu"
Hayo ni maelezo ya mtabiri nyota na aliyasema haya kutokana na mwaka huu kuingia siku ya jumanne.
R.I.P mlevi mwenzetu.
 
Duh..
 
.............Hakika brother!tuishi tukiheshimiana.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…