mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Word.....!Maisha haya ni mafupi,,Ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie,akiumwa kampe pole,akikuomba msamaha samehe.,ukimkumbuka mjulie hali..Usiyape majivuno nafasi,tuna muda mchache duniani...
*Uhai ni zawadi, kifo ni lazima..* huu ujumbe utakusaidia sana kwenye Maisha yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa! Nimeipenda hiyo.Jiwe hawezi kufa ghafra kiasi hicho, ana presidential treatment.
Ndo mana anaringa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitachangia kikwaresmakwaresma......Kisha akawaambia 'Kesheni Mkiomba maana hamjui siku wala saa ajapo mwana wa Adamu'...mwisho wa kunukuu
Wanacelebret maisha ya Ruge Mutahaba. Tangazo la Kibonde baadayeMbona Clouds FM wanaendelea na matangazo kwa ratiba za kawaida kana kwamba hakuna kitu kimetokea?
Najua kifo kinaweza kumfika yeyote, popote na wakati wowote.
Pole kwa wafiwa
Bwana alitoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe, tumshukuru mungu kwa kila jambo, amenMtangazaji Ephrahim Kibonde wa clouds fm amefariki dunia akiwa anapata matibabu ktk hospitali ya bugando jijini mwanza kuamkia usiku wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubiri tamko la Jiwe ili tujue kama utakuwa ni wakitaifa au wakwao kule uporoto tu....
Duh..CMG wanapitia wakati mgumu sana, mtoto wa marehemu sheikh yahya aliyatabiri haya.
.
"Mwaka huu watafariki watu maarufu sana hivyo wajitahadhari mno"
"Na waliokuwa wanaonekana wanaanguka ndiyo watakaoamka kijana ommy dimpoz atafanya makubwa sana mwaka huu"
Hayo ni maelezo ya mtabiri nyota na aliyasema haya kutokana na mwaka huu kuingia siku ya jumanne.
.............Hakika brother!tuishi tukiheshimiana.Maisha haya ni mafupi,,Ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie,akiumwa kampe pole,akikuomba msamaha samehe.,ukimkumbuka mjulie hali..Usiyape majivuno nafasi,tuna muda mchache duniani...
*Uhai ni zawadi, kifo ni lazima..* huu ujumbe utakusaidia sana kwenye Maisha yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Clouds wamethibitisha muda huu mkuu,Mbona Clouds FM wanaendelea na matangazo kwa ratiba za kawaida kana kwamba hakuna kitu kimetokea?
Najua kifo kinaweza kumfika yeyote, popote na wakati wowote.
Pole kwa wafiwa