TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

Angetengenezewa chai tangawizi haraka.

R I P
 
Manyumbu yatakuja kusema ni corona
Na wakisema ni changamoto za upuaji utaridhika.iwe iwavyo,sema usemavyo keshafariki na wewe na mm hatujui sababu za kifo chake.usiumize sana kichwa kutukana kwa niaba ,wala marehemu hajakutuma. mungu amlaze anapostahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…