TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

Mkuu ulisemalo liko sahihi kabisaa but wanasiasa watanzania ndoo wamefanya watanzania kutokuwa na utu,upendo pamoja na huruma .Inapotokea mpendwa wako ameuliwa,amepigwa risasi au amepotea kwa mzingira ya kutatanisha alafu unajua kuwa wanasiasa wameshiriki unafikiri kwenye fikra yako si utajaza chuki?

,Kila ukimuona anaemshabikia huyo aliewatendea ubaya ndugu zako nae utamchukia kwani anakutonesha kidonda.Aneua nae anatakiwa ambewe kifo mapema ili asiendelee kuuwa.
 
Ni kweli,,wanasiasa tunawaomba wa control emotions zao na maamuzi yao,,sote ni wanadamu wajitaidi kuvumiliana na kutokuumiza jamii kwa kuigawa vipande,,
 
Poleni Tbccm,huyo alikuwa hajitambulishi kwa jina la ukoo,Leo ndio nimefahamu ukoo wake ni Mwakalinga maana alikuwa anaishia kwenye Elisha Elia.
Tbccm punguzeni mahaba kwa mbogamboga mtakwisha .Chagua TL mpate uhuru haki na maendeleo
Kuwa chama fulani ni maamuzi binafsi tu hayo,,,kama wewe vile kuwa upande wa Lisu,wako millions upande wa Lisu na millions upande wa ccm lakini hatubaguani mtaani,,unaweza wewe kuwa mangi na una duka lako na bendera inapepea dukani kwako lakin watu wa ccm,,nccr,,chauma,cuf etc wanakuja pata mahitaji yao dukani kwako kwa amani kbs,,,hata kama unawafahamu ni wanachama kindakindaki kwao huko waliko....kifupi hatujafikia sehemu ya kubaguana namna hiyo,,,watu bado wanathaminiana na kuheshimiana mtaani vizuri kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…