TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

Viol

Katika Hali ya kibinadamu umejibu ovyo sana,,kea vyovyote binadamu ni binadamu tu hata awe kichwa anathamani kubwa,,kweli ndg umenishangaza sana nimewaza yafuatayo:

1. Juzi jioni nikiwa mkolani nilishuhudia ajali ambayo uliniacha nilikuuliza sana, Toyota premio iliyokuwa inatokea buhongwa ikaacha njia ni kuvaa watu waliokuwa wanauza pembeni ya barabara,,watu waliumia lakini hakuna mtu aliyepoteza maisha eneo la tukio mpaka mim naondoka...ni mita kama 4tu ajali ilipotokea.

2. jana saa 10 hiv jioni nikaona ambulance ya kituo cha nyakanazi hapo mkolani ukienda bugando,,nikajiuliza umbali wa nyakanazi Mwanza lakini watu wanapigania uhai wa ndg na jamaa yao.

3. Inawezekana hujawahi patwa na msiba wa ndg yako wa karibu hivo hujui maumivu ya kufiwa na mprndwa wako ambae ulizoea kuwa nae Kila wakati...akafumba macho jumla...siku ukifiwa kbs utaelewa na akili zitarudi.

4. Jifunze kuheshinu utu wa mtu,,kigo ni kigo tu kweli lakini fikiri Hawa watu walioachwa wakoje kwa sasa,,,yawezekana alikuwa baba wa familia sasa baba hayupo,,watoto unawaza watakuwaje...na mke wake.

Siasa isikukufanye uone watu ni nzi...ni hayo tu ndg....
Mkuu ulisemalo liko sahihi kabisaa but wanasiasa watanzania ndoo wamefanya watanzania kutokuwa na utu,upendo pamoja na huruma .Inapotokea mpendwa wako ameuliwa,amepigwa risasi au amepotea kwa mzingira ya kutatanisha alafu unajua kuwa wanasiasa wameshiriki unafikiri kwenye fikra yako si utajaza chuki?

,Kila ukimuona anaemshabikia huyo aliewatendea ubaya ndugu zako nae utamchukia kwani anakutonesha kidonda.Aneua nae anatakiwa ambewe kifo mapema ili asiendelee kuuwa.
 
Mkuu ulisemalo liko sahihi kabisaa but wanasiasa watanzania ndoo wamefanya watanzania kutokuwa na utu,upendo pamoja na huruma .Inapotokea mpendwa wako ameuliwa,amepigwa risasi au amepotea kwa mzingira ya kutatanisha alafu unajua kuwa wanasiasa wameshiriki unafikiri kwenye fikra yako si utajaza chuki? ,kila ukimuona anaemshabikia huyo aliewatendea ubaya ndugu zako nae utamchukia kwani anakutonesha kidonda.Aneua nae anatakiwa ambewe kifo mapema ili asiendelee kuuwa.
Ni kweli,,wanasiasa tunawaomba wa control emotions zao na maamuzi yao,,sote ni wanadamu wajitaidi kuvumiliana na kutokuumiza jamii kwa kuigawa vipande,,
 
Poleni Tbccm,huyo alikuwa hajitambulishi kwa jina la ukoo,Leo ndio nimefahamu ukoo wake ni Mwakalinga maana alikuwa anaishia kwenye Elisha Elia.
Tbccm punguzeni mahaba kwa mbogamboga mtakwisha .Chagua TL mpate uhuru haki na maendeleo
Kuwa chama fulani ni maamuzi binafsi tu hayo,,,kama wewe vile kuwa upande wa Lisu,wako millions upande wa Lisu na millions upande wa ccm lakini hatubaguani mtaani,,unaweza wewe kuwa mangi na una duka lako na bendera inapepea dukani kwako lakin watu wa ccm,,nccr,,chauma,cuf etc wanakuja pata mahitaji yao dukani kwako kwa amani kbs,,,hata kama unawafahamu ni wanachama kindakindaki kwao huko waliko....kifupi hatujafikia sehemu ya kubaguana namna hiyo,,,watu bado wanathaminiana na kuheshimiana mtaani vizuri kbs
 
Back
Top Bottom