TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

Una mawazo kama yangu
 
Hapana. Chuki za kibinadamu zipo tu.
Nakukumbusha:
1: Walivyofariki wanajeshi wetu Darfur ( Kikwetes regime) watu walishangilia.
2: Walivyofariki watanzania kule Mkuranga Kibiti 2015 May watu walisema yao.
Hata alipokufa yesu wayahudi walishangilia
 
kama sikosei ni the long weit. mkuu.....
pole sana kwa familia yote ya kazin na nyumbani.... Mungu awatie nguvu ktk kupindi hiki kigumu sana..... ukiwa hujawahi kupata msiba huwezi kujua uchungu wake.....
 

Vanessa ndo amezaa na Kisa??
 
kama sikosei ni the long weit. mkuu.....
pole sana kwa familia yote ya kazin na nyumbani.... Mungu awatie nguvu ktk kupindi hiki kigumu sana..... ukiwa hujawahi kupata msiba huwezi kujua uchungu wake.....
Mkuu hapana siyo hiyo. The long wait ilikuwa ya ufilipino ya kina hyina na Angelo nayo ilikuwa nzuri sana. Ila hii ilikua baada ya long wait ni telenovela ya Mexico
 
Mkuu "ukijaza chuki" si utaishia kuugua vidonda vya tumbo, shinikizo la damu, nk na kisha utakufa wakati yule ambaye umejwnga chuki dhidi yake hana taarifa yoyote kuhusu wewe! Kila jambo baya huwa lina "uzuri" wake sema watu tulio wengi huwa hatufahamu jinsi ya kuangalia upande mzuri tu kwa manufaa ya afya zetu...
Sijuhi kama umenielewa, ila jifunze kuanzia leo kutazama mazuri tu kwenye kila jambo baya!
 
pole kwa wana familia na watangazaji wa TBC kwa kumpoteza mkongwe mwengine ktk tasnia ya utangazaji, binafsi nilimkubali sana Elisha ni mtangazaji makini na mahiri asiye na mbwembwe za kijinga.
Apumzike kwa amani
 
Actually kijana anaitwa Elisha Elia Mwakagali, na siyo Mwakalinga.
 
Hapo Tbc Pana makazi ya kudumu ya malaika mtoa roho! Watu wa Mungu nendeni mkashushe maombi y a kumfukuza huyo israili mtoa roho kwani amewamaliza watangazaji wazuri na kuyabakisha Yale yanayosifia ccm 24/7! Anyway, watajuana wenyewe kwani wamegeuka wasifiaji badala ya wahabarishaji!
 
R.I.P home boy wangu.
Hili jina la Mwakalinga ni geni ila nalijua Mwakagali..
Cc Mods
 
Wengi hawajui kuwa huyo kijana ni mjukuu wa Askofu Mwakagali.
Ni mtoto wa wapakwa mafuta.
 
1. Mavi sija m-refer Elisha, namsema yule aliyesema kuwa pengo halitazibika. Sina mjadala na Elisha! He was agentle guy, sina tatizo naye. Ila hilo la pengo halitazibika nalikataa.
2. Kwani wewe unanijua? Unajua mimi nina mishahara mingapi? hata ikiwa 1,000,000 so what? of what use to me?
3. Kila mmoja anaweza kutangaza, I guess, kila mmoja akipenda! Ndiyo maana unaona fani imevamiwa... lkn siyo kila mmoja anaweza kuwa daktari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…