Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
SureLile ndio kosa,na events za mwaka huu nazo zilikuwa ngumu,mara corona,mara mass exodus mara upungufu wa ajira,upungufu wa pesa mifukoni,tumbua tumbua.
Freedom of speech and expression. I suggest you shut up your ears instead.You, hypocrite shut up your mouth.
Nia yao ni kupata pesa toka kwa wazungu walizoahidiwa basi. Ushindi hawana mpango nao kabisa wanacheza movie tu ili wawadanganye mabeberu walete pesa.Umenikumbusha jambo zuri,wakati wa kujiandikisha,kuna watu walihamasisha watu wasijiandikishe kuikomoa Gavamenti,na saizi kampeni zimeanza watu wengine hawakujiandikisha.....itaishia kuwa kelele tu ila vitendo zero......kuna siredi humu nyingi tu......sasa nani atapiga kura?
Anyway,ngoja sisi wapenzi watazamaji tuendelee kula mchuzi....nyama tutazikuta chini
Mjomba huo ni ukweli mchungu sana kwao na itakuwa vigumu kuchukua ushauri wako, natarajia utapokea matusi makali sana kutoka kwao lakin nakuamini sana mwamba kuwa uko vizuri kuwajibu wajinga kulingana na matusi yao.Hivi niliposema kuwa CCM tayari walikuwa na Wanachama wao 8,000,000 ( Milioni Nane ) 'Kibindoni' na kwamba waliendelea tena 'Kuwatafuta' wengine hivyo ni 'obvious' kuwa kwa 'Mikakati' yao watakuwa 'wameongezeka' ulinielewa? Kuna Watu hapa kutokana na 'Upumbavu' wenu na Kupenda 'Kukurupuka' katika Kusoma 'Threads' zangu huwa mnanilazimisha niwe nawajibuni 'hovyo' tu. Kama huna 'Akili' usifungue 'Uzi' wagu.
Tufanye wote hatujajiandikisha, mmejiandikisha CCM tu.Walivyojaa msongo wa mawazo labda hata kujiandikisha hawakujiandikisha labda unadhani unaenda tu kupiga kura bila kujiandikisha?
Dosari ipi mkuuImefanyika na inaweza kuzidi hapo.anyway niwape pole,uzinduzi wa kampeni zenu umeingia dosari,mwanzo mbaya,mrekebishe makosa mapema,mnaweza kosa kura hata laki 5.
Mmeshindwa kuwa na chombo cha habari cha uhakika ambacho kitakuwa huru kurusha mikutano yenu ya kampeni kama ilivyo bila kuchuja content.mfano ilitakiwa muwe na online TV ya chadema.hakuna kitu mnagombana na TBC, wenzenu hata kama hawana online TV wana pesa za kulipia chaneli mbalimbali na wakaheshimiwa kurushwa kwa mkutano kama ulivyo , rejea hotuba mbalimbali za JPM huwa hazichujwi.Dosari ipi mkuu
Mkuu ni ukosefu wa waledi tu wa watawala wetu ndo maana TBC inafanya utopolo.lakini pia chama kinachopigania kushika dola hakipaswi kufanya biashara.Mmeshindwa kuwa na chombo cha habari cha uhakika ambacho kitakuwa huru kurusha mikutano yenu ya kampeni kama ilivyo bila kuchuja content.mfano ilitakiwa muwe na online TV ya chadema.hakuna kitu mnagombana na TBC,wenzenu hata kama hawana online TV wana pesa za kulipia chaneli mbalimbali na wakaheshimiwa kurushwa kwa mkutano kama ulivyo ,rejea hotuba mbalimbali za JPM huwa hazichujwi...
Mkuu wewe kachague wale wanaojenga barabara na madaraja kwa miaka 60 Sasa kwani shida iko wapi? 2015 ccm ilituambia tuchague Magufuli na si sera mwaka huu I believe watatuambia chagua chama maana magu hauziki tena.Leo wanafungua kampeni zao lakini wameshindwa kabisa kusema watafanya nini wakichaguliwa. Muda wote wanalaumu tu
Hawa jamaa wafuasi wa CDM, Mimi huwa nawaona kama wapumbavu na wapiga kelele tu😂😂, hapo watapiga kelele, Ila wengi wao kura hawatapiga 😂😂😂Umenikumbusha jambo zuri,wakati wa kujiandikisha,kuna watu walihamasisha watu wasijiandikishe kuikomoa Gavamenti,na saizi kampeni zimeanza watu wengine hawakujiandikisha.....itaishia kuwa kelele tu ila vitendo zero......kuna siredi humu nyingi tu......sasa nani atapiga kura?
Anyway,ngoja sisi wapenzi watazamaji tuendelee kula mchuzi....nyama tutazikuta chini
Kuna "ghost voters" 6.7 milioni.Kama watu hawakujiandikisha tume ya uchaguzi imewezaje kuandikisha watanzania wote wenye sifa za kupiga kura ?
Eti Magu hauziki😲, we jamaa mbona Unapenda ndoto za mchana😂?Mkuu wewe kachague wale wanaojenga barabara na madaraja kwa miaka 60 Sasa kwani shida iko wapi? 2015 ccm ilituambia tuchague Magufuli na si sera mwaka huu I believe watatuambia chagua chama maana magu hauziki tena.
Hawa jamaa wafuasi wa CDM, Mimi huwa nawaona kama wapumbavu na wapiga kelele tu[emoji23][emoji23], hapo watapiga kelele, Ila wengi wao kura hawatapiga [emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ndiyo ukweli wenyewe haiwezekani nusu ya wananchi wote wajiandikishe kupiga kura katika kipindi cha corona kama ile pasipo uhamasishaji wowote.Kuna "ghost voters" 6.7 milioni.