Uchaguzi 2020 Mtani wangu Tundu Lissu pokea huu 'Ukweli' wangu japo najua hujaambiwa na unaweza ukawauma Wakupendao

Uchaguzi 2020 Mtani wangu Tundu Lissu pokea huu 'Ukweli' wangu japo najua hujaambiwa na unaweza ukawauma Wakupendao

Umenikumbusha jambo zuri,wakati wa kujiandikisha,kuna watu walihamasisha watu wasijiandikishe kuikomoa Gavamenti,na saizi kampeni zimeanza watu wengine hawakujiandikisha.....itaishia kuwa kelele tu ila vitendo zero......kuna siredi humu nyingi tu......sasa nani atapiga kura?

Anyway,ngoja sisi wapenzi watazamaji tuendelee kula mchuzi....nyama tutazikuta chini
Nia yao ni kupata pesa toka kwa wazungu walizoahidiwa basi. Ushindi hawana mpango nao kabisa wanacheza movie tu ili wawadanganye mabeberu walete pesa.
 
Hivi niliposema kuwa CCM tayari walikuwa na Wanachama wao 8,000,000 ( Milioni Nane ) 'Kibindoni' na kwamba waliendelea tena 'Kuwatafuta' wengine hivyo ni 'obvious' kuwa kwa 'Mikakati' yao watakuwa 'wameongezeka' ulinielewa? Kuna Watu hapa kutokana na 'Upumbavu' wenu na Kupenda 'Kukurupuka' katika Kusoma 'Threads' zangu huwa mnanilazimisha niwe nawajibuni 'hovyo' tu. Kama huna 'Akili' usifungue 'Uzi' wagu.
Mjomba huo ni ukweli mchungu sana kwao na itakuwa vigumu kuchukua ushauri wako, natarajia utapokea matusi makali sana kutoka kwao lakin nakuamini sana mwamba kuwa uko vizuri kuwajibu wajinga kulingana na matusi yao.
 
Walivyojaa msongo wa mawazo labda hata kujiandikisha hawakujiandikisha labda unadhani unaenda tu kupiga kura bila kujiandikisha?
Tufanye wote hatujajiandikisha, mmejiandikisha CCM tu.

Ila nikwambie legitimacy ya uongozi inatoka kwa wananchi. Kama watu hawakupendi hata utumie hila vipi na manguvu,kamwe haiwez kukufanya upendwe.

Haki huinua taifa
 
200% true. But the downsides of our major party is the one man show dependency! I fail to grasp what could gona be at and beyond 2025. Our bldz will be out giving room to this bulletproof guy to swim over and over with zeroN resistance force.
 
Dosari ipi mkuu
Mmeshindwa kuwa na chombo cha habari cha uhakika ambacho kitakuwa huru kurusha mikutano yenu ya kampeni kama ilivyo bila kuchuja content.mfano ilitakiwa muwe na online TV ya chadema.hakuna kitu mnagombana na TBC, wenzenu hata kama hawana online TV wana pesa za kulipia chaneli mbalimbali na wakaheshimiwa kurushwa kwa mkutano kama ulivyo , rejea hotuba mbalimbali za JPM huwa hazichujwi.

Pili mgombea wa chadema anatakiwa ajikite kwenye sera za namna gani atafanya akiwa Rais kuzidi serikali ya JPM,vitu kama hivyo.. badala yake amekuwa anatumia nguvu nyingi kulezea namna amepigwa risasi na vidonda vyake sijui nini sijui... as if watanzania hawajui kuwa alishambuliwa.vitu kama hivyo.

Watu wachache walioudhulia mkutano wa leo baadhi yao wameondoka wamechukia hakuna la maana.
.
 
Mmeshindwa kuwa na chombo cha habari cha uhakika ambacho kitakuwa huru kurusha mikutano yenu ya kampeni kama ilivyo bila kuchuja content.mfano ilitakiwa muwe na online TV ya chadema.hakuna kitu mnagombana na TBC,wenzenu hata kama hawana online TV wana pesa za kulipia chaneli mbalimbali na wakaheshimiwa kurushwa kwa mkutano kama ulivyo ,rejea hotuba mbalimbali za JPM huwa hazichujwi...
Mkuu ni ukosefu wa waledi tu wa watawala wetu ndo maana TBC inafanya utopolo.lakini pia chama kinachopigania kushika dola hakipaswi kufanya biashara.

Ndo maana akili kubwa akina mkapa walianzisha ruzuku kwa vyama vya siasa.Huyu utopolo wenu wa Sasa hawezi kuona logic ya what was bahind ruzuku maana ni empty set.any way Pale mtunga sera na msimamia sheria anapoamua kufanya biashara lazima watu wapate tabu. Akina Simba oil ,Vodacom etc ndo hao ccm je Bei zikoje ukilinganisha na mataifa mengine?
 
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na hoja yako mpandisha uzi.
 
Pamoja na ccm kuwahamasisha wanachama wake kwa wingi,moyoni wana chadema.

Ukitaka kuthibitisha hilo rejea Mbeya Rais Sugu alivyozoa kura nyingi 2015 mfano kwa uchache,ni za wanachama wa ccm walio asi chama chao na kupigia chadema.
 
Leo wanafungua kampeni zao lakini wameshindwa kabisa kusema watafanya nini wakichaguliwa. Muda wote wanalaumu tu
Mkuu wewe kachague wale wanaojenga barabara na madaraja kwa miaka 60 Sasa kwani shida iko wapi? 2015 ccm ilituambia tuchague Magufuli na si sera mwaka huu I believe watatuambia chagua chama maana magu hauziki tena.
 
Umenikumbusha jambo zuri,wakati wa kujiandikisha,kuna watu walihamasisha watu wasijiandikishe kuikomoa Gavamenti,na saizi kampeni zimeanza watu wengine hawakujiandikisha.....itaishia kuwa kelele tu ila vitendo zero......kuna siredi humu nyingi tu......sasa nani atapiga kura?

Anyway,ngoja sisi wapenzi watazamaji tuendelee kula mchuzi....nyama tutazikuta chini
Hawa jamaa wafuasi wa CDM, Mimi huwa nawaona kama wapumbavu na wapiga kelele tu😂😂, hapo watapiga kelele, Ila wengi wao kura hawatapiga 😂😂😂
 
Mkuu wewe kachague wale wanaojenga barabara na madaraja kwa miaka 60 Sasa kwani shida iko wapi? 2015 ccm ilituambia tuchague Magufuli na si sera mwaka huu I believe watatuambia chagua chama maana magu hauziki tena.
Eti Magu hauziki😲, we jamaa mbona Unapenda ndoto za mchana😂?
 
Hawa jamaa wafuasi wa CDM, Mimi huwa nawaona kama wapumbavu na wapiga kelele tu[emoji23][emoji23], hapo watapiga kelele, Ila wengi wao kura hawatapiga [emoji23][emoji23][emoji23]

People used to die in the river........!
 
Back
Top Bottom