Uchaguzi 2020 Mtani wangu Tundu Lissu pokea huu 'Ukweli' wangu japo najua hujaambiwa na unaweza ukawauma Wakupendao

Watakaompigia kura Lisu ni wafuatao-
1.Wafanyakazi waliokosa nyongeza ya mishahara kwa miaka 5 ilihali gharama za maisha zineongezeka maradufu.

2.Wafanyakazi waliotumbuliwa kwa uhakiki wa vyeti na kunyinwa haki zao za msingi.

3.Vijana waliorundikana mitaani wasijue nini cha kufanya kwa ukosefu wa ajira kwa miaka mingi.

3.wafanyabiashara waliofilisiwa biashara zao,waliobambikiziwa kodi zisizo na mfano.

4.Wafanyakazi walioongezewa makato ya HESLB bila kuongeza mishahara.

5.Watu waliokerwa na kukosa furaha ndani ya nchi yao kwa kukosa uhuru wa kujieleza,uminywaji wa demokrasia na ukandamizaji wa haki za kiraia na kibinadamu.

kwa ufupi,watu niliowataja hapo juu ni wanachama wa CCM,CHADEMA,ACT, na wengine hawana vyama kama mimi.

Msingi wa kukubalika ni HAKI,Haki huinua taifa.
Sema wqtafqnya maarifa Fulani
 
Swali ni kuwa, hao wamejiandikisha kupiga kura?

Mleta mada ana uhakika wapo waliojiandikisha m8 kwa ajili ya ccm. Ss sijajua uhakika unapatikana vipi na kura ni siri.
 
UTANGULIZI

Sijawahi hata Siku moja kuficha Hisia zangu za 'Kukukubali' sana hasa kwa aina ya 'Misimamo' yako thabiti, uwezo wa Kufikiri ( Akili ) na pia Kuchambua mambo 'Kiumakini' kabisa. Na hapa nisikufiche si Mimi tu ambaye ni mwana CCM nakiri na kulisema hili ila nina uhakika hata wana CCM wengi tu nao wapo kama Mimi juu yako sema tu hawakuonyeshi Kiuwazi japo Mioyoni mwao upo sana tu.

MTAZAMO

Sina shaka kabisa na Wewe Kutia Nia na hatimaye Chama chako cha CHADEMA Kukuamini na Kukuteua kuwa Mgombea wao kwani Kisheria na Kikatiba hii ni Haki ya Kila Mtanzania mwenye Sifa Kamili kufanya hivyo. Wasiwasi wangu Kwako upo sehemu ndogo tu kwamba umewahi kufanya 'Timing' Kipindi hiki kibaya Kwako Kisiasa na badala yake kwa mwaka 2025 ndiyo ulikuwa muda Muafaka.

USICHOKIJUA

Mtani wangu kutoka Singida Tundu Lissu najua unaweza 'usiamini' ila kwakuwa GENTAMYCINE 'nakupenda' ngoja nikuambie tu ukweli kuwa pamoja na kwamba unaona una Watu ( Wafuasi ) wengi wakiwa nawe kila uendako ila ukweli ni kwamba 'Kitakwimu' ni 25% tu hao unaowaona ndiyo 'Wamejiandikisha' Kupiga 'Kura' mwaka huu na 'Wamehakiki' vyema kabisa Majina yao Vituoni.

ULILOLISAHAU WEWE NA CHADEMA YAKO

Hapa sitokulaumu Wewe sana Mtani wangu Tundu Lissu kwakuwa muda mwingi ulikuwa katika 'Matibabu' yako huko 'Ughaibuni' ila lawama zangu nyingi nazipeleka kwa CHADEMA kwa 'Kujisahau' Kwao muda mwingi 'Kuwahimiza' Wanachama wao waende 'Kujiandikisha' Vituoni na badala yake wao muda Wao mwingi walitumia 'Kuwekeza' katika 'Kupambana' tu na Serikali ( Dola )

UMAKINI WA CCM UPO HAPA

Tayari CCM walishafanya 'Utafiti' wao wa ndani tena 'Kiumakini' kabisa na 'Kujiridhisha' kuwa wana uhakika wa Kura 8,000,000 ( Milioni Nane ) kutokana na 'Wanachama' wao nchi nzima hivyo wakaendelea katika Kuwatafuta wengine ili kuongeza hiyo idadi huku 'wakiwahimiza' sana Wanachama wao hao 'Kujiandikisha' na hata 'Kuhakiki' Majina yao Jambo ambalo wamefanikiwa 100%.

MKAKATI WA KISIASA ULIOIMALIZA KABISA CHADEMA

Wakati CHADEMA yako muda mwingi 'ikiwekeza' katika 'Kulaumu' na 'Kupambana' na Mamlaka ( Dola ) hasimu walisahau kuwa Siasa zote duniani pia huwa zina 'Umafia' ndani yake na mliosoma 'Political Science' mtanielewa hivyo baada ya 'Kuhisiwa' kuwa mtaendelea kuwa 'Tishio' mkatafutiwa 'Adui Rafiki' wa huko huko 'Upinzani' asaidiwe na wa Kwao ili 'Kuzigawa' Kura zenu nyingi.

FAIDA PEKEE AMBAYO TUTAIPATA KUTOKA KWAKO

Mtani wangu Tundu Lissu wala 'usidanganyike' na 'wasikudanganye' uwezo wa Wewe Kushinda na kuwa Rais wetu haupo na huna hasa kutokana na 'Mikakati' iliyoko na pia kwa 'Mpinzani' wako kufukia karibia 90% ya yale 'Mashimo' yote ya 'Kimapungufu' katika 'Utawala' wake. Kitu pekee utakachofanikiwa nacho ni 'Kuwajaza' tu Watanzania wachache Imani za Chuki na Majungu pia.

USHAURI WANGU KWAKO

Kwakuwa nina uhakika kuwa hutoweza 'Kutoboa' hata iweje ( japo utajitutumua ) ningependa tumia sasa uwezo wako huu mkubwa wa 'Ushawishi' ulionao katika 'Kuwahimiza' Watanzania wanaokuamini na Wafuasi wako 'Wawachague' Wabunge wengi wa CHADEMA ili angalau wakiwa wengi basi muweze kuwa na 'Nguvu' Bungeni ambayo inaweza 'Kukujenga' kwa 2025 Ukigombea.

UWEPO WAKO NI TIJA KUBWA KWA CCM KUENDELEA KUJIJENGA ZAIDI

Nakujua na ni matuamini yangu makubwa kuwa hata katika Mikutano yako ya Kampeni zilizoanza utakuwa unatumia muda mwing sana 'Kuinanga' ile mbaya CCM na Mwenyekiti wake ila usisahau tu kuwa kwa kadri utakavyokuwa 'unawasema' CCM na Rais wao ndiyo utakuwa 'unawafunua' na 'kuwajenga' zaidi ili wazidi 'Kujikita' na 'Kujidhatiti' kabisa Madarakani na Kiutawala.

HITIMISHO

Nakutakia tu Kampeni njema Mtani wangu Tundu Lissu Wewe pamoja na Vyama vingine vyote vya Upinzani nchini Tanzania ila niwaombeni tu tumieni 'Muhula' huu wa mwisho wa Rais Dkt. Magufuli kuwepo 'Madarakani' kwa nyie 'Wapinzani' Kwanza Kujitathmini na Kujijenga zaidi huku mkiwa 'Wamoja' na muache 'Unafiki' ili basi Chaguzi zijazo muingie mkiwa ni Wamoja kabisa.

Wako Mtani wako

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Majina yangu Kamili ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo )
Sawa kachukue 7k yako kaka....
 
Gentamicin takwimu hizi umetoa wapi. Umewauliza hao wafuasi mmoja mmoja au?
umetumia mbinu gani kujua hili?
 
kula ni siri ya mtu, sasa wewe kwa research gan uliyofanya mpaka useme makijan wanawapiga kula milion 8 mpaka hv sasa? kwa kipindi kirefu sana nilikuwa nafuatiliaga mabandiko yako na kuona unaandika hoja zenye mashiko sana lakin kwa hili hapana, nimeshuka kwenye ilo gar lako wadanganye sengine
 
UTANGULIZI

Sijawahi hata Siku moja kuficha Hisia zangu za 'Kukukubali' sana hasa kwa aina ya 'Misimamo' yako thabiti, uwezo wa Kufikiri ( Akili ) na pia Kuchambua mambo 'Kiumakini' kabisa. Na hapa nisikufiche si Mimi tu ambaye ni mwana CCM nakiri na kulisema hili ila nina uhakika hata wana CCM wengi tu nao wapo kama Mimi juu yako sema tu hawakuonyeshi Kiuwazi japo Mioyoni mwao upo sana tu.

MTAZAMO

Sina shaka kabisa na Wewe Kutia Nia na hatimaye Chama chako cha CHADEMA Kukuamini na Kukuteua kuwa Mgombea wao kwani Kisheria na Kikatiba hii ni Haki ya Kila Mtanzania mwenye Sifa Kamili kufanya hivyo. Wasiwasi wangu Kwako upo sehemu ndogo tu kwamba umewahi kufanya 'Timing' Kipindi hiki kibaya Kwako Kisiasa na badala yake kwa mwaka 2025 ndiyo ulikuwa muda Muafaka.

USICHOKIJUA

Mtani wangu kutoka Singida Tundu Lissu najua unaweza 'usiamini' ila kwakuwa GENTAMYCINE 'nakupenda' ngoja nikuambie tu ukweli kuwa pamoja na kwamba unaona una Watu ( Wafuasi ) wengi wakiwa nawe kila uendako ila ukweli ni kwamba 'Kitakwimu' ni 25% tu hao unaowaona ndiyo 'Wamejiandikisha' Kupiga 'Kura' mwaka huu na 'Wamehakiki' vyema kabisa Majina yao Vituoni.

ULILOLISAHAU WEWE NA CHADEMA YAKO

Hapa sitokulaumu Wewe sana Mtani wangu Tundu Lissu kwakuwa muda mwingi ulikuwa katika 'Matibabu' yako huko 'Ughaibuni' ila lawama zangu nyingi nazipeleka kwa CHADEMA kwa 'Kujisahau' Kwao muda mwingi 'Kuwahimiza' Wanachama wao waende 'Kujiandikisha' Vituoni na badala yake wao muda Wao mwingi walitumia 'Kuwekeza' katika 'Kupambana' tu na Serikali ( Dola )

UMAKINI WA CCM UPO HAPA

Tayari CCM walishafanya 'Utafiti' wao wa ndani tena 'Kiumakini' kabisa na 'Kujiridhisha' kuwa wana uhakika wa Kura 8,000,000 ( Milioni Nane ) kutokana na 'Wanachama' wao nchi nzima hivyo wakaendelea katika Kuwatafuta wengine ili kuongeza hiyo idadi huku 'wakiwahimiza' sana Wanachama wao hao 'Kujiandikisha' na hata 'Kuhakiki' Majina yao Jambo ambalo wamefanikiwa 100%.

MKAKATI WA KISIASA ULIOIMALIZA KABISA CHADEMA

Wakati CHADEMA yako muda mwingi 'ikiwekeza' katika 'Kulaumu' na 'Kupambana' na Mamlaka ( Dola ) hasimu walisahau kuwa Siasa zote duniani pia huwa zina 'Umafia' ndani yake na mliosoma 'Political Science' mtanielewa hivyo baada ya 'Kuhisiwa' kuwa mtaendelea kuwa 'Tishio' mkatafutiwa 'Adui Rafiki' wa huko huko 'Upinzani' asaidiwe na wa Kwao ili 'Kuzigawa' Kura zenu nyingi.

FAIDA PEKEE AMBAYO TUTAIPATA KUTOKA KWAKO

Mtani wangu Tundu Lissu wala 'usidanganyike' na 'wasikudanganye' uwezo wa Wewe Kushinda na kuwa Rais wetu haupo na huna hasa kutokana na 'Mikakati' iliyoko na pia kwa 'Mpinzani' wako kufukia karibia 90% ya yale 'Mashimo' yote ya 'Kimapungufu' katika 'Utawala' wake. Kitu pekee utakachofanikiwa nacho ni 'Kuwajaza' tu Watanzania wachache Imani za Chuki na Majungu pia.

USHAURI WANGU KWAKO

Kwakuwa nina uhakika kuwa hutoweza 'Kutoboa' hata iweje ( japo utajitutumua ) ningependa tumia sasa uwezo wako huu mkubwa wa 'Ushawishi' ulionao katika 'Kuwahimiza' Watanzania wanaokuamini na Wafuasi wako 'Wawachague' Wabunge wengi wa CHADEMA ili angalau wakiwa wengi basi muweze kuwa na 'Nguvu' Bungeni ambayo inaweza 'Kukujenga' kwa 2025 Ukigombea.

UWEPO WAKO NI TIJA KUBWA KWA CCM KUENDELEA KUJIJENGA ZAIDI

Nakujua na ni matuamini yangu makubwa kuwa hata katika Mikutano yako ya Kampeni zilizoanza utakuwa unatumia muda mwing sana 'Kuinanga' ile mbaya CCM na Mwenyekiti wake ila usisahau tu kuwa kwa kadri utakavyokuwa 'unawasema' CCM na Rais wao ndiyo utakuwa 'unawafunua' na 'kuwajenga' zaidi ili wazidi 'Kujikita' na 'Kujidhatiti' kabisa Madarakani na Kiutawala.

HITIMISHO

Nakutakia tu Kampeni njema Mtani wangu Tundu Lissu Wewe pamoja na Vyama vingine vyote vya Upinzani nchini Tanzania ila niwaombeni tu tumieni 'Muhula' huu wa mwisho wa Rais Dkt. Magufuli kuwepo 'Madarakani' kwa nyie 'Wapinzani' Kwanza Kujitathmini na Kujijenga zaidi huku mkiwa 'Wamoja' na muache 'Unafiki' ili basi Chaguzi zijazo muingie mkiwa ni Wamoja kabisa.

Wako Mtani wako

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Majina yangu Kamili ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo )
Tukuambie tu mkuu .. chadema imefanya utafiti wao na kujiridhisha kuwa wana kura milion 12 ...ulippsema ccm wana 8,000,000/= hujakosea hzo ndo kura za ccm..hvyo mwaka huu hawana chao
 
Watakaompigia kura Lisu ni wafuatao-
1.Wafanyakazi waliokosa nyongeza ya mishahara kwa miaka 5 ilihali gharama za maisha zineongezeka maradufu.

2.Wafanyakazi waliotumbuliwa kwa uhakiki wa vyeti na kunyinwa haki zao za msingi.

3.Vijana waliorundikana mitaani wasijue nini cha kufanya kwa ukosefu wa ajira kwa miaka mingi.

3.wafanyabiashara waliofilisiwa biashara zao,waliobambikiziwa kodi zisizo na mfano.

4.Wafanyakazi walioongezewa makato ya HESLB bila kuongeza mishahara.

5.Watu waliokerwa na kukosa furaha ndani ya nchi yao kwa kukosa uhuru wa kujieleza,uminywaji wa demokrasia na ukandamizaji wa haki za kiraia na kibinadamu.

kwa ufupi,watu niliowataja hapo juu ni wanachama wa CCM,CHADEMA,ACT, na wengine hawana vyama kama mimi.

Msingi wa kukubalika ni HAKI,Haki huinua taifa.
Kwani Jiwe ana kipi Cha Kupigiwa kura ? Hakuna hatumtaki arudi kwao Rwanda.
 
Imefanyika na inaweza kuzidi hapo.anyway niwape pole,uzinduzi wa kampeni zenu umeingia dosari,mwanzo mbaya,mrekebishe makosa mapema,mnaweza kosa kura hata laki 5.
Dosari ipi?? Kuwafukuza TBC au
 
Mmeshindwa kuwa na chombo cha habari cha uhakika ambacho kitakuwa huru kurusha mikutano yenu ya kampeni kama ilivyo bila kuchuja content.mfano ilitakiwa muwe na online TV ya chadema.hakuna kitu mnagombana na TBC,wenzenu hata kama hawana online TV wana pesa za kulipia chaneli mbalimbali na wakaheshimiwa kurushwa kwa mkutano kama ulivyo ,rejea hotuba mbalimbali za JPM huwa hazichujwi.

Pili mgombea wa chadema anatakiwa ajikite kwenye sera za namna gani atafanya akiwa Rais kuzidi serikali ya JPM,vitu kama hivyo.. badala yake amekuwa anatumia nguvu nyingi kulezea namna amepigwa risasi na vidonda vyake sijui nini sijui... as if watanzania hawajui kuwa alishambuliwa.vitu kama hivyo,
Watu wachache walioudhulia mkutano wa leo baadhi yao wameondoka wamechukia hakuna la maana.
.
Tatizo lenu wana ccm mna vichwa vigumu ..kasema ilitakiwa kuzindua sera leo lkn wameahirisha kutokana na tengua tengua...sera ipp lkn sema hampendi kusikia akiliongelea hilo Jambo kwn ni dosari kwa utawala huu wa awamu ya 5..na inampa lissu credit
 
Amepoteza credit ya watu kumtilia maanani,mbona mambo ya kupigwa risasi na makovu yake ameongelea,nadhani mambo ya tengua tengua ilipaswa inandaliwe press ya vyombo mbalimbali kisha wanatoa tamko,pale palikuwa ni kampeni tu,hakupaswa kuleta longolongo.mkubali tu mlikuwa na bad day today.matokeo yake mkapaniki hasira zote mkamalizia TBC.sasa ngoja uone amsha ya kesho Dodoma,ndio utaona tofauti.
 
Back
Top Bottom