Mkiambiwa msiende south hamsikii😭😭TANZIA TANZIA TANZIA 😭😭
Ndugu zangu ninawaletea taarifa ya msiba mwingine.
Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania mwenzetu bwana MOHAMMED RAMADHANI aliyekuwa akiishi South Africa katika jiji la Cape Town jimbo la FLEY.
Ndugu yetu MOHAMMED amefariki usiku wa jana huko Cape Town kwa kupigwa risasi na mtu asiyejulikana. Kwa Tanzania anatokea mkoa wa Tanga.
Mbele yake nyuma yetu.
🙏🙏🙏
Unataka waende wapi?Mkiambiwa msiende south hamsikii
Kibaka😭😭TANZIA TANZIA TANZIA 😭😭
Ndugu zangu ninawaletea taarifa ya msiba mwingine.
Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania mwenzetu bwana MOHAMMED RAMADHANI aliyekuwa akiishi South Africa katika jiji la Cape Town jimbo la FLEY.
Ndugu yetu MOHAMMED amefariki usiku wa jana huko Cape Town kwa kupigwa risasi na mtu asiyejulikana. Kwa Tanzania anatokea mkoa wa Tanga.
Mbele yake nyuma yetu.
🙏🙏🙏
South tamu, na hizo hamsha hamsha za bunduki ndiyo zinafanya iwe sweeter.Mkiambiwa msiende south hamsikii
Unazungumzia south afu mfano unatolea marekani Yemen na Ukraine vitu viwili tofauti kabisaSouth tamu, na hizo hamsha hamsha za bunduki ndiyo zinafanya iwe sweeter.
Juzi namsoma jamaa mmoja, kapiga vita Yemen,then kaenda Afghanistan mwaka 2019 alipigwa risasi kidogo afe. baada Biden kuwatoa wanajeshi uko akarudi US, akaoa but Ndoa haikwenda vizuri, akaachana na mke wake. Mara vuuu Bakhmut hiyo, akaamua kubeba mabegi yake kwenda kutulia uko,hadi sasa yuko huko Bakhmut anawindana na warusi.
Anasema maisha ya vita kwake ni raha sana kuliko kitu kingine.