DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Nina jamaa angu anaendaga sana south Africa, kuna cku nimemuuliza "Huko south Africa hv mnafanyaga ishu gan?" Jamaa akanijibu WE UNADHAN KUNA ISHU KUBWA YOYOTE YA MAANA NDUGU YANGU ZAID YA UIZIWengine kabla hatujaandika R.I.P hebu tujuze status yake, hakuwa mhalifu?
Huko wabongo wengi wamezamia kwa ajili ya kazi chafu tu na katika taarifa za vifo sijawahi kusikia sababu ya kifo ni maleria au ugonjwa wowote, wengi ni shaba tu.
Kwanini iwe hivyo?