Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Wamzike huko huko
 
Ila binadamu wana tamaa sana. Mimi tu kufanyiwa operation ya kizazi nilikuwa naogopa sembuse kuongezewa shepu etc. Mbona tunapendwa tu na u portable wetu. Tena mtu yuko proud na wewe. Ila sababu mapenzi yamekuwa biashara wanawake wanajitoa ufahamu
 
Kama nikweli basi mtihani unakufa kwa sababu ya kumkosoa Mungu
Hii haihusiani na Mungu hajapenda au amependa sababu Wema Sepenga alienda kumkosoa Mungu alipona.
Hii inahusiana na huduma mbovu au afya mbovu ya muhusika.
Au kibongongo siku yake ukifika.
 
'Ukitaka uzuri sharti uzurike.'
 
Ila binadamu wana tamaa sana. Mimi tu kufanyiwa operation ya kizazi nilikuwa naogopa sembuse kuongezewa shepu etc. Mbona tunapendwa tu na u portable wetu. Tena mtu yuko proud na wewe. Ila sababu mapenzi yamekuwa biashara wanawake wanajitoa ufahamu
Wanawake na attention ni kama benki na riba. Wanaitafuta kwa gharama yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…