emanuel goa
JF-Expert Member
- Mar 19, 2018
- 522
- 585
Dada sasa atakuwa mzuri zaidiMdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Naona hufuatilii habari za DuniaMboni wengine hawafi huyu imekuaje au kaenda kwa bei rahisi?
Mkuu UK mtu anaenda kufanya plastic surgery akirudi mashine ya kusoma sura au Biometric Scanning inachanganyikiwa na haimpi green light, kwa sababu sura imebadilika mnoWanakufa sana, now uingereza imepiga marufuku watu wake kwenda turkey kufanya hizo op, bado hazijawa salama kwa asilimia kubwa.
Jamaa hana info za kutosha.Naona hufuatilii habari za Dunia
Hapa 🇬🇧 tu tangu 2019 watu 28 wamekufa kwa ajili ya operation hizi na aina zingine
Watu wanadhani Uturuki ni best kumbe kuna makanjanja wengi tu
Na ukufungua kesi utaamua kusamehe tu maana utaitwa kila leo
Mkuu shukrani sana uwe una share tu hivo vitu aiseeeeeDah ndio hivyo mzee, kuna vitu huwa tunafuatilia kisha tunapiga kimya hadi yatokee ndipo tunaongea maana dah tukiongea ni ngumu kueleweka.
Hapa Jf tunafahamiana kwa avaterkwan unamfaham
Hajui tu mkuu maana wanakufa na wengine kupata ukilema wa maishaJamaa hana info za kutosha.
Yeah! Pale ambapo hata Ibilisi anaogopa kukanyaga, mwanamke ni chap' atakanyaga kwa miguu yake yote miwili.Duh aisee,,,,kumbe sisi wanawake ni majisiri hivi
Nukuu:" ............ tukiongea ni ngumu kueleweka."Dah ndio hivyo mzee, kuna vitu huwa tunafuatilia kisha tunapiga kimya hadi yatokee ndipo tunaongea maana dah tukiongea ni ngumu kueleweka.
kwaio nimfate PM etyHapa Jf tunafahamiana kwa avater
"........Wadada wanapitia mengi kumbe..."Mmmmh hatarii sana hii ni complex mechanism aiseeee..
Wadada wanapitia mengi kumbe...
Naam.kwaio nimfate PM ety
Alazwe wap !Alazwe pema peponi kamanda
Sura yenyewe hiyo kama ya mchongo kama ya Michael Jackson the late?!Daah! Sura nzuri na ya kuvutia haikumtosha. Lol.
Mungu amekataa kukosolewa!!Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
ushaur takenNaam.
Bila shaka huwa nashare kwenye baadhi ya posts nadhani kwasasa itabidi nijikite kwenye kuandika nyuzi zangu mwenye ili mtu akitaka kujifunza atazame nyuzi zangu na kupata details.Mkuu shukrani sana uwe una share tu hivo vitu aiseeeee