Kiwingu kwa namna gani tena mzee? Yaani mfano wewe umegundua watu wanakula chakula chenye sumu pandikizi utawatazama tu wakila au utawatahadharisha?Nukuu:" ............ tukiongea ni ngumu kueleweka."
Ndio na pia unaweza kujikuta umeingia kwenye vita ya kiuchumi bila sababu za msingi. Wanaotoa hiyo huduma wangelipenda na wanatamani wateja waende wengi ss wewe utakuwa unawawekea kiwingu.
Mkuu ukianza hiyo project nipo hapa naomba niwe na wewe kila hatua.. pia unaweza andika kuhusu hii ishu ya plastic surgery vizri kabisa..Bila shaka huwa nashare kwenye baadhi ya posts nadhani kwasasa itabidi nijikite kwenye kuandika nyuzi zangu mwenye ili mtu akitaka kujifunza atazame nyuzi zangu na kupata details.
Mchangieni uyu dada mpambanaji haogopi chochote, walimu wanafia kwenye kazi ngumu ya chaki sembuse huyu.Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Picha inaogofya kiduchuWataalamu hebu watoe elimu ili kina Dada wasi risk maisha yao,
Kipi kinafanya wafe kwenye kuongeza makalio? Hua ni operation wanayakata na kisu? Je damu nyingi huvuja? Maswali ni mengi ila kinachopelekea hasa kifo kwenye hiyo operation hua ni nini?
Kwa nini alazwe?Alale mwenyewe.Alazwe pema peponi kamanda
Mbona hizo picha ni mdoli?Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Na kunamchango unapitishwa arudishwe bongo, tumhifadhi mTZ mwenzetu.Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
acha uongo wewe....Wanakufa sana, now uingereza imepiga marufuku watu wake kwenda turkey kufanya hizo op
Sio kwamba kafa kwa huduma za bei nafuu wala wengine hawatoboi kisa wametoa gharama kubwa NO! Ni mapenzi ya mwenyezi MUNGU tu, mtu anafajifungua mwananyamala anapona ila inatokea wa aga Khan na nyinginezo km hiyo anafariki. Kama MUNGU kakupangia hivyo hata utoe pesa kiasi gani utakwenda tuMboni wengine hawafi huyu imekuaje au kaenda kwa bei rahisi?
Masponsor wanatuchanganya wadadaDaah polen wafiwa,mbona alikuwa mzuri tu alikuwa anahangaika Nini?
Mama anapenda wanawe tupendeze jamani makofi kwake tafazaliNailaumu sana serikali, wanaendekeza upuuzi, hivi vitu ni vya kukemea ika wao wanavizogeza karibu na wananchi
Duuu kumbe Kuna wanawake wanatembea vi ist kwenye makalioGharama za matako ni zaidi ya 4500$ sioni sababu kuchangiwa hiyo nauli
Inategemea sana dada yangu. KUna wengine tunapenda makalio ya kawaida tu. BTW kwa Bongo hasa Dar, wanawake wenye makalio siyo wazuri wa kuoa kwa sababu wanapoona wanapigiwa miluzi kila wanakopita hudhani wao ni almasi hivyo hujenga viburi na udangaji kwenye ndoa. Wengine tu-learn in a hard way!Apumzike mahali alipojichagulia,
Hii YOTE ili kuwafurahisha wanaume au Kuna kingine??
Wanaume wanapenda sana wanawake wenye matako that's why sisi tuliopigwa pasi tunakosa utulivu 😭
Mkuu, kwenye hizi surgery vifo hutokea. Siyo salama kwa asilimia 100. Ila ni kweli, the cheaper, the riskierMboni wengine hawafi huyu imekuaje au kaenda kwa bei rahisi?
Umeandika ujinga sana hapa ,umeropoka.acha uongo wewe....
nchi za dunia ya kwanza hazitawaliwi na marufuku za RPC Muliro...
Mwingereza anaetaka kwenda popote kufanyiwa chochote anakwenda, yatakayomfika huko shauri yake.... Raia wa UK umpige marufuku kufanya anachofanya akiwa kwenye safari zake nje ya nchi ??? Are you a dope fiend ?...Yani mi diaspora yetu imekalia kufagia ma vyoo ya wazungu, haijui kusoma wala kuandika wala kufuatilia news za huko, hawajui chochote kinachoendelea nchi wanazoishi ...masikini ya mungu