Nilisikiaga kuna ya Mchina na hayahitaji upasuaji. Yaliishia wapi?Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Mliopigwa pasi kama we we ndo ugonjwa wetu wengine, Mimi mwanamke wenye wezere hanivutii kabisa.Apumzike mahali alipojichagulia,
Hii YOTE ili kuwafurahisha wanaume au Kuna kingine??
Wanaume wanapenda sana wanawake wenye matako that's why sisi tuliopigwa pasi tunakosa utulivu 😭
Nifa si atoe tu pesa mwenyewe make biashara yake ni kubwa sana hadi anahonga.Nifa anakusanya rambi rambi
Karibu kwa mchango 😁
Kama ulijua mkuu, coHalafu cha ajabu nimeona wanaomba mchango wa $4,500 za kuweza kurudisha mwili TZ.
Yani mtu aende na kiranga chake mwenyewe cha kutaka kumkosoa Mungu halafu ndugu na jamaa waje kuomba msaada wa kurudisha mwili wake.
Ikiwa alikuwa na pesa za kwenda kuweka matako basi lazima itakuwa ana pesa za kutosha kurudisha masalia ya matako yake.
Kama Mungu hamkumjaalia makalio makubwa, hao waturuki wangeyapata wapi ya kumwekea?Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Wanakufa sana, now uingereza imepiga marufuku watu wake kwenda turkey kufanya hizo op, bado hazijawa salama kwa asilimia kubwa.Mboni wengine hawafi huyu imekuaje au kaenda kwa bei rahisi?
Tungepata dactor atujuze, hayo makalio yanaongezwaje, na je hivyo wanavyojaza wanavitoa wapi,Wataalamu hebu watoe elimu ili kina Dada wasi risk maisha yao,
Kipi kinafanya wafe kwenye kuongeza makalio? Hua ni operation wanayakata na kisu? Je damu nyingi huvuja? Maswali ni mengi ila kinachopelekea hasa kifo kwenye hiyo operation hua ni nini?
Tujue kwanza ana kianzio (salio-anzia)kiasi gani halafu atamke makadirio ya gharama (budget Estimates) kwa shughuli hiyo ili nasi tujipange kila mtu atachanga kiasi gani - kama hana kitu aambiwe "Mkono mtupu haulambwi".Mchangieni
Wanawake ni watu wasioridhika,hivi uzuri wote huo bado alikuwa anatafuta nini?yote ni kutafuta attention,kaaazi kwelikweli....Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Au basi azikwe uko ukoTujue kwanza ana kianzio (salio-anzia)kiasi gani halafu atamke makadirio ya gharama (budget Estimates) kwa shughuli hiyo ili nasi tujipange kila mtu atachanga kiasi gani - kama hana kitu aambiwe "Mkono mtupu haulambwi".
Wewe matako unayo, kwani wakalia nini?Apumzike mahali alipojichagulia,
Hii YOTE ili kuwafurahisha wanaume au Kuna kingine??
Wanaume wanapenda sana wanawake wenye matako that's why sisi tuliopigwa pasi tunakosa utulivu 😭
Hebu nioneSisi mashangazi wenye makalio makubwa kwa kweRi tunaringa mjini hapa. Mungu ametubariki zawadi ya KUDUMU.
Kumbe kuna watu wanayasaka makalio hadi wanafarikii????? Jamaniiiii nimebubujikwa na machozi!
Angenifwata nimmegee kipande cha kalio ajibandikie na superglue na yeye angalau awe mtu katika watu!
Mjini makalio. Mtakufa sana Alaaah 🥱🥱🥱
Cc Lamomy Poor Brain mshamba_hachekwi fundi bishoo
Mkuu, Mawazo yako yanaheshimika lakini huyu bibie naye aliona kuwa na makalio madogo ni tatizo kwake au ni kikwazo/changamoto kwake inayomzuia asitoboe.Hawa wafage tu watu wanaenda hospitalini sababu ya matatizo ya lazima lakini wewe kisa upo na makalio madogo ndo uende? kwanza huyu lazima alikuwa anajiuza.
Au madaktari wa hapa mafriji hayagandishi!Mloganzila
Dadeeeeeeeeeeeeki hii bangi ya Wapi Mpwa? HahahaShufaa likawa stafeli
Ah Boss; Hoja hapo ni ukubwa (size).Wewe matako unayo, kwani wakalia nini?