Pressure au Shinikizo la damu la juu (HBP) au la chini (LBP) kuna visababishi vingi; lakini pia laweza kutokea ghafla kutokana na mshtuko aupatao mtu kutokana na Tukio lililompata. Unaonaje kama huyu muathirika alishtushwa na matokeo (-ve) ya kilichofanyika au alipozinduka baada ya upasuaji kukamilika (dawa nusukaputi huweza kusababisha mtu kuwa na mawenge anapozinduka) Ila samahani mm sio daktari.Fafanua ishu ya presha hapo View attachment 2980548
Anakusanya kwenye platform ipiNifa anakusanya rambi rambi
Karibu kwa mchango [emoji16]
Iwe onyoIkiwa alikuwa na pesa za kwenda kuweka matako basi lazima itakuwa ana pesa za kutosha kurudisha masalia ya matako yake.
Nimeelewa kiasi mkuu shukraniPressure au Shinikizo la damu la juu (HBP) au la chini (LBP) kuna visababishi vingi; lakini pia laweza kutokea ghafla kutokana na mshtuko aupatao mtu kutokana na Tukio lililompata. Unaonaje kama huyu muathirika alishtushwa na matokeo (-ve) ya kilichofanyika au alipozinduka baada ya upasuaji kukamilika (dawa nusukaputi huweza kusababisha mtu kuwa na mawenge anapozinduka) Ila samahani mm sio daktari.
Huko amepost instagram na namba inayopokea mchangoAnakusanya kwenye platform ipi
Wana pesa za kuchezea nahisi sababu kubwa ni sisi wanaume tunahonga sana.Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
ππππππdah! Umetisha mkuuIkiwa alikuwa na pesa za kwenda kuweka matako basi lazima itakuwa ana pesa za kutosha kurudisha masalia ya matako yake
asanteeeeeNdio nisha kuambia...jitunze.
Nipe handle yake nikaone mambo yalivyo huko kijijini InstaHuko amepost instagram na namba inayopokea mchango
kwan unamfahamNi wengine waliokudanganya ila sio huyu.
Wadada wa JF wote tuna mitraaako bhna.Apumzike mahali alipojichagulia,
Hii YOTE ili kuwafurahisha wanaume au Kuna kingine??
Wanaume wanapenda sana wanawake wenye matako that's why sisi tuliopigwa pasi tunakosa utulivu π
Amesema ukweli lakiniππππππdah! Umetisha mkuu
Kwahiyo Mungu halisi ndiye alimtuma akaongeze matakoAcha kujihesabia haki,ninyi watu mliopandikizwa hizi dini za wazungu na waarabu mnapenda sana kujiona ni wema na huyo mungu wenu kumbe ni ubatili tu,mungu wa biblia na Qur'an ni tafauti sana na Mungu halisi,endelea kujilisha upepo
tena hulo kalio kwa kulichapa makofi alooohππSisi mashangazi wenye makalio makubwa kwa kweRi tunaringa mjini hapa. Mungu ametubariki zawadi ya KUDUMU.
Kumbe kuna watu wanayasaka makalio hadi wanafarikii????? Jamaniiiii nimebubujikwa na machozi!
Angenifwata nimmegee kipande cha kalio ajibandikie na superglue na yeye angalau awe mtu katika watu!
Mjini makalio. Mtakufa sana Alaaah π₯±π₯±π₯±
Cc Lamomy Poor Brain mshamba_hachekwi fundi bishoo
Afe tena na tena.Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Nipe handle yake nikaone mambo yalivyo huko kijijini Insta