Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel

John Wickzer, kwanza chukuwa mauwa yako kwa ufafanuzi mzuri. Tusitake kuilahumu serikali kwa kilichowatokea Watanzania walioko Israel. Wanaopaswa kubeba lawama ni Wauwaji wenyewe yaani Hamas. Hawa vijana kama walipelekwa kwa nia ya kujifunza kilimo, kosa la Serikali ni lipi? Kwa wale waliopelekwa kwa nia ya mafunzo ya kijeshi, kosa la Serikali ni lipi?

Inaweza ikatokea nje ya utaratibu wa serikali Mtanzania binafsi akajiunga na jeshi la Israeli kama njia ya kupata ajira. Ktk mazingira hayo vilevile serikali haipaswi kubeba lawama. Labda waniambie JWT imetuma wapiganaji kwenda kuisaidia Israel, nitawaelewa.

Kumekuwa na propaganda za hovyo na nyingi ukiziangalia zina elements za udini ndani yake. Kutuletea picha ya kijana mweusi mwenye kombati ya jeshi la Israeli haitoshi kutuaminisha kwamba huyo kijana ni Mtanzania. Na hata kama ni Mtanzania haielezi mazingira yaliyomfanya aingie kwenye hilo jeshi.
 
Naona umechanganya mambo! Huyo hakuwa mwanajeshi huyo ni raia wa kitanzania!
 
Kauwa raia wengi ulikuwepo?......tupe ushahidi na mbona picha haziendani kabisa ............wewe uliyechangia nahisi Linda moja limeachia
 
Yaan ukamatwe harafu uachiwe umeshika silaha yako utafikiri wamekamata mwizi wanapeleka kisutu??kichwani ulisomea ujinga
 
mngejisikiaje kama huyo mtanzania angeuwawa akiwa upande wa hamas? vipi na wale vijana wanaokamatwa kwenye mipaka ya kenya wakielekea somalia kujiunga na kundi la kigaidi la al shabaab mbona povu huwa haliwatoki? tatizo mnajadili mambo kwa hisia za imani za kidini mbwa nyie, udini umewajaa balaa
 
Israel haina shida ya wanajeshi,
Ina wanajeshi active 169,500 na wa akiba 465,000.
Kweli mkuu shalom, hata USA huwa haina shida na wanajeshi na wanajeshi wake hawazeeki wala hawafi shida ni kwa wa Bongo, hiyo idadi ya akiba ni ndogo sana ukilinganisha ya wanajeshi wa akiba wa Russia
 
Kweli John na uharamu hauko na wayahudi wao ni Taifa teule ile ni ardhi yao ya AHADI hata wakikuchukua wewe uende uko tayari
 
Picha aliyopiga joshua akiwa na uniform za jeshi la israeli ni yeye? Je mwanafunzi wa kilimo kujiingiza katika shughuli za majeshi ya israeli ni sawa? Kwa utaratibu upi? Waziri wa mambo ya nje Januari makamba watanzania tunataka majibu.
 
Picha aliyopiga joshua akiwa na uniform za jeshi la israeli ni yeye? Je mwanafunzi wa kilimo kujiingiza katika shughuli za majeshi ya israeli ni sawa? Kwa utaratibu upi? Waziri wa mambo ya nje Januari makamba watanzania tunataka majibu.
Umeona rangi mkono na uso vilivyo?

Umeona alignment ya shingo na kichwa kwenye hiyo picha

Umeona ndevu zilivyo kwenye picha?
 
Hawafanani hata kidogo mollel ana sura ndefu ya box huyo mwanajeshi ana sura ya mviringo !!! HAWAFANANI...!!
Just a Photoshop, nakumbuka miaka Fulani ya nyuma, Mwanaharakati mmoja Mpinzani wa Mugabe alichora picha ya Rais Mugabe akiwa uchi wa mnyama kwa kutumia teknolojia ya Photoshop.
 
Just a Photoshop, nakumbuka miaka Fulani ya nyuma, Mwanaharakati mmoja Mpinzani wa Mugabe alichora picha ya Rais Mugabe akiwa uchi wa mnyama kwa kutumia teknolojia ya Photoshop.
Kaka kwa sisi Wakristo tusikubali, na hawa jamaa hata kama si photoshop mbona wao vijana wao wanaenda kwa Alshabab, hao Hamas kwanza kwanini waivamie ardhi Takatifu ya Israel, sisi tulishafutiwa dhambi zetu hata kama kweli Molell alikuwa mwanjeshi na kuuwa watoto vichanga wa kipalestina kwanini wamuuwe?
 
Kwa sisi wasomi wa fani mbalimbali, hata mishe za kawaida mitaani tu huwa tunaingia field kupata ujuzi na uzoefu kazini. Sasa kama kuna fursa zipo sehemu fulani duniani kwa nini tusipeleke wanafunzi wetu wakapate ujuzi na uzoefu huko? Kwanza kuna umuhimu wa kupeleka wanajeshi wetu kwenye operation mbalimbali duniani wakapate mbinu za kimedani kuja kuimarisha jeshi letu iwe wazi au kwa siri, peleka hata kwenye vikundi vya kigaidi huko nje ndio mafunzo yenyewe hayo
 
Sasa kumbe joshua kafia vitani kwanini mnaleta malalamiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…