Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika kinyang'anyiro cha ugombea ubunge, wagombea wengi sana wametoa hotuba zao.
Katika hotuba zote, iliyobora kabisa ni hotuba iliyotolewa na mpiga debe wa mgombea ubunge wa Chadema huko Mwanza katika Jimbo la Nyamagana huko Mwanza.
Kijana huyo amewakumbusha wapiga kura wake kuhusu umuhimu wa uchaguzi huu, amewaasa wote wanaodhani kuwa uchaguzi ni ama vile ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga. Amewaambia kuwa uchaguzi unahusu ajira zao, pensheni zao n. k
Pia amewaasa wananchi kuwa Magufuli hana sera za kuwaambia wananchi ndiyo maana anazunguuka na wasanii ili kuwasahaulisha matatizo yao kupitia burudani. Akahoji kuwa kwani mauno ya Diamond yanasaidiaje kwa mfano wazee wetu kupata pensheni zao?
Kwa kweli inafurahisha kuwa TZ tuna baadhi ya wagombea vichwa, ambao naamini kama wakiingia bungeni watakuwa na mchango mzuri sana wa mawazo
Kwa taarifa zaidi angalia hotuba yenyewe hapa

Dogo yuko vizuri mno...Anajua kuongea na hadhiraKatika kinyang'anyiro cha ugombea ubunge, wagombea wengi sana wametoa hotuba zao.
Katika hotuba zote, iliyobora kabisa ni hotuba iliyotolewa na mpiga debe wa mgombea ubunge wa Chadema huko Mwanza katika Jimbo la Nyamagana huko Mwanza.
Kijana huyo amewakumbusha wapiga kura wake kuhusu umuhimu wa uchaguzi huu, amewaasa wote wanaodhani kuwa uchaguzi ni ama vile ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga. Amewaambia kuwa uchaguzi unahusu ajira zao, pensheni zao n. k
Pia amewaasa wananchi kuwa Magufuli hana sera za kuwaambia wananchi ndiyo maana anazunguuka na wasanii ili kuwasahaulisha matatizo yao kupitia burudani. Akahoji kuwa kwani mauno ya Diamond yanasaidiaje kwa mfano wazee wetu kupata pensheni zao?
Kwa kweli inafurahisha kuwa TZ tuna baadhi ya wagombea vichwa, ambao naamini kama wakiingia bungeni watakuwa na mchango mzuri sana wa mawazo
Kwa taarifa zaidi angalia hotuba yenyewe hapa
Jukwaa ni sehemu ya kufafanua utatizi sio kuonyesha mauno Abarikiwe kijana wa Mwanza aunganishwe kwenye ziara ya LisuAiseee huyo Ni jembe kwelikweli na waliofatia pia Ni majembe yote , Lumumba nzima si Jiwe , Bashiru , Polepole wenye uwezo wa kujibu hizo hoja hakuna , haya kijani kibichi njooni sasa mtuambie mauno ya Diamond , yatalipa wastaafu, yataleta ajira , yatatatua changamoto za huduma duni za afya , ukosefu wa fedha mtaani , umaskini , ukosefu wa madawati n.k.
Katika kinyang'anyiro cha ugombea ubunge, wagombea wengi sana wametoa hotuba zao.
Katika hotuba zote, iliyobora kabisa ni hotuba iliyotolewa na mpiga debe wa mgombea ubunge wa Chadema huko Mwanza katika Jimbo la Nyamagana huko Mwanza.
...
Pia amewaasa wananchi kuwa Magufuli hana sera za kuwaambia wananchi ndiyo maana anazunguuka na wasanii ili kuwasahaulisha matatizo yao kupitia burudani. Akahoji kuwa kwani mauno ya Diamond yanasaidiaje kwa mfano wazee wetu kupata pensheni zao?
Kwa kweli inafurahisha kuwa TZ tuna baadhi ya wagombea vichwa, ambao naamini kama wakiingia bungeni watakuwa na mchango mzuri sana wa mawazo
Kwa taarifa zaidi angalia hotuba yenyewe hapa
Ebu eleza mikakati ya kutatua shida zote za jamii pasipo kuwa na uchumi imara? Mtu kama wewe ndiye uota kuwa na ghorofa wakati hata mlo wa siku moja ni wa kubaghaiza.Safi sana.nchi bado iko na shida nyingi sana zakijamii lakini hazisemwi tumekalia kuzungumzia mambo makubwa makubwa wakati madogo yakijamii tumeshindwa kuyafanya.safi sana kijana.
Mpe masikini burudani asahau shida zake au vipi?Ukitaka kujua uandishi kioja ndio huu. Kwamba huyo kijana wa CHADEMA katoa hotuba iliyobora kabisa! Kwa Sera zipi? Hivi, CHADEMA ina Sera wanazozinadi kwenye kampeni zaidi ya kudharilisha viongozi?
Aluu Mkuu Missile of the Nation ati kutembea na wasanii ni kuwasaulisha wapiga kura matatizo yao kupitia burudani. Du, yaani kwa uzoefu wako hujui nguvu ya wasanii kufikisha ujumbe kwa jamii? Pole sana.
Aisee! Amenifikirisha! Hivi VIUNO VYA DIAMOND ndio utatuzi wa matatizo yetu? Halafu cha kufurahisha, wamewasajirisha wasani woooooooote maarufu, ili upande wa pili wasiwapate!Hii ndiyo hotuba bora kabisa kutolewa tangu kampeni zianze