TANZIA Mtanzania apigwa risasi na kufariki Afrika Kusini

Unajaribu kuconnect dot lakini haiingii aki, kigogo mmoja mwanae kaajirwa kuuza duka

Hahaha, nadhani mwandishi alipoandika neno, “Kigogo” amemaanisha jina la sehemu, sio hadhi ya mtu. Inawezekana Mkuu ameunganisha dots kwa kutozingatia Dar es Salaam kuna sehemu inaitwa Kigogo.
 
Yaani inasikitisha sana,yaani mtu upo sehemu yako ya biashara lazini kitendo cha kumjibu mteja na mteja akaona umemdharau anakuua kweli,hao majamaa ni wakatili sana
 
Marehemu alikosea mno, South hutakiwi kubishana na wazawa. wengi wao wana Narcissistic personality disorder. Never never never underestimate your opponent.
 
Wewe ndio mshamba unayetaka watu wasitoke kutafuta fursa uko duniani.maisha yako popote na mauaji yako kila mahali ata hapa bongo watu wanauana kila siku.mengine ni ajali tu na maisha lazima yaendelee.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mifumo ya kibepari ndio chanzo, kunakuwa na 'gap' kubwa kwa walionacho na wasiokuwa nacho
 
Unajaribu kuconnect dot lakini haiingii aki, kigogo mmoja mwanae kaajirwa kuuza duka
Familia ya Kigogo wanamaanisha Kigogo eneo ndani ya Dar.
 
Nimeleft mzansi juzi usiku, na usiku huo niolikuwa natoka kuna mtu alipigwa risasi zaidi ya 8 mita kadhaa mbele ya macho yangu. Wapigaji walikuwa wamepaki gari yao kwenye robot wakisubiri robot ifungue na mlengwaji alikuwa kasimama karibu na saloon moja hivi. Jamaa uhai umlitoka pale pale..
Ni katika mtaa wa Sunnyside wenye foreigners wengi.
 

Attachments

  • 20220921_184309.jpg
    201.1 KB · Views: 14
  • 20220918_212752.jpg
    402.7 KB · Views: 13
Kuamia tu mkoani mm Kaz kweli kweli acha unimbie sijui nenda Nairobi tu hapo natetemeka balah nchi hii Ni nzuri sna amanin tele mkp uuwawe na bastola Basi ujue umewaudhi washambuliaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
South Africa Kuna kiwango kikubwa sana cha uhalifu. Mnakumbuka July unrest 2021 ambapo walikuwa wanavamia na kupora biashara? Nchi imejaa walevi , wazinzi na wavivu . Wakitaifisha mashamba inaweza ikaja kuwa new Zimbabwe. Wanachukia wageni eti wanapora ajira ambazo wazawa wanaweza Fanya. Wazawa nyoko sana
 
Namibia ni free entry kwa passport ya Tanzania.
Uwe na chanjo tu
Na address uendako.
1. Chanjo ya covid au yellow
2. fever? How come kama sina address na ninafikia lodge?.
3. Wana utaratibu wa show money pale border?.
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…