TANZIA Mtanzania apigwa risasi na kufariki Afrika Kusini

South Africa si salama sana kwa wageni,

Sijuwi wanaipendea nn watanzania.

Namibia ipo powa sn kwa fursa yeyote.
Inchi ndogo ila tamu sn.
Nakuja na m 40,000,0000 mtaji
 
South Africa si salama sana kwa wageni,

Sijuwi wanaipendea nn watanzania.

Namibia ipo powa sn kwa fursa yeyote.
Inchi ndogo ila tamu sn.
Uchumi wa South Africa ni mkubwa na fursa huwezi linganisha na Namibia mkuu
 
dah.--- aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…