TANZIA Mtanzania auawa kwa kuchomwa visu nchini Afrika Kusini

Ni wazi huyu bwana hakua huko kisheria hebu rudini nyumbani msitutilie aibu huko Sasa sura utafikiri mtu yupo Ubungo Durban gani uso umefwafwanzika hivyo si ndio vibaka wenyewe hao ushauri wangu wabongo mjitafakari huko
Kamwene mkuu hiyo fwafwanzika inajieleza kabisa wewe ni ndugu yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Ila huyu ni hustler, kokote tu ukiwa hustler kuuwawa kwa kisu ni kawaida, ni kwamba huelezwi na haitangazwi sana, hata humu yanatokea.
 
Kwa sababu blacks wapo huko
 

Sio kweli, nimeishi Nashville USA, ni amani kuliko Masaki, hata ndege na wadudu wana thamani, nenda huko China town na maeneo mengine.
 
Hiyo unasema wewe

Kwa anayetaka kutoka aacha atoke

Ova
 
Sina sababu, USA nimeishi Mimi, sio Mjomba wangu, kuna maeneo salama sana ambayo hata Tanzania hakuna.
Basi tusipangiane namna ya kukubaliana mawazo, wewe ukiishi sehemu 1 ya USA si sehemu zote ulizoishi.

2010 nilikutana na Mu-Australia mmoja mtasha halikadhalika naye hakutaka kabisa kukubaliana na mawazo yako haya, alisema ni heri hata aishi kuzimu ila si USA.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kuzimu si sehemu. Habari hii imekaa kishabiki zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…