Hapo wangehusisha na uislamu pamoja na kejeli kwa Mtume Mohammad (Peace and blessing of Allah be upon him) ,sijui wapoje hawa watu ...Angekua kauawa kwenye nchi za Waarabu tungeshuhudia povu la kila aina ya sabuni humu.
Hili la dharau true kuna jamaa alienda US kurudi kitaa kila mtu alikua anamuona takataka mpaka nikajiuliza wanapewa nini wenzetu huko,Yan wengi wanajiona kama wanatoka mbinguni,sijui ushamba tu unawasumbua!
Aaah kumbe sio ubaguzi uliomuua?Huyu dogo anaonekata kukitafuta kifo chake baada ya kuiga mambo ya vijana wa Kimarekani. Kafanya "TIZI" na kupata kifua cha kuku basi akaanza mambo ya ubabe wa hapa na pale hadi kufikia kutaka kupokonya bunduki ya polisi, polisi naye kwa sheria ya kwao ambapo hata hapa kwetu ipo akawa hatarini na akatumia silaha ya moto kwa mtu anayehatarisha usalama. RIP dogo wa Ki-ishomile.
Nimeelewa, swali langu huyo aliyemuua alikuwa mweupe au mweusi mwenzake? Maana tunasoma kwenye mitandao mauaji ya weusi kwa kuuliwa na polisi yalishamiri hivi karibuni huko USA. Au hujayasikia wewe?FF hiyo paragrafu ya pili inaeleza kuwa kauawa na polisi baada ya huyo ndugu yetu kutaka kunyang'anya bastola ya polisi...
Hivyo naona wakamdhibiti kwa kumchapa risasi na akafia hospitalini...
Nilifanyiwa semina ya namna hii kabla ya Kwenda Kanyakumar, Tamil Nadu. Nikaelezwa utamaduni wa huko na namna ya kuchangamana na raia wa huko. Ilikuwa semina muhimu sana na ilinisaidia sana.
Dah, sijawahi kusikia nchi za Kiarabu wanawaua watu kwa kuomba omba, tena ndio wanapenda kweli kusaidia waombao.Duh, jamaa inasemekana alikuwa anaomba omba wateja kwenye restaurant, askari kumtuliza mwamba akaanza kupambana naye hivyo chuma kikatembea
Kuna huyu jamaa DIBAJI alinitapeli kwa ulaghai wake kisa anaishi marekani akanamnia nimtafutie kiwanja Dodoma, na hakika nilizunguka mji mzima takribani kwa week mbili nikapata kiwanja,nilimwambia jamaa na kirahisi tu akanambia amehahirisha bila hata kusema asante,mzunguko huo nilipiteza pesa zangu na mda wangu na jamaa hakutimiza ahadi.yake kwangu ya kuninunulia bajaji ya ambayo ningeendesha kwa mkataba.
Popote ulipo ulaaniwe sana wewe jamaa DIBAJI
Udalali Una faida na hasara zake!Kuna huyu jamaa DIBAJI alinitapeli kwa ulaghai wake kisa anaishi marekani akanamnia nimtafutie kiwanja Dodoma, na hakika nilizunguka mji mzima takribani kwa week mbili nikapata kiwanja,nilimwambia jamaa na kirahisi tu akanambia amehahirisha bila hata kusema asante,mzunguko huo nilipiteza pesa zangu na mda wangu na jamaa hakutimiza ahadi.yake kwangu ya kuninunulia bajaji ya ambayo ningeendesha kwa mkataba.
Popote ulipo ulaaniwe sana wewe jamaa DIBAJI
Nalazimisha wakati upo kweli? Takwimu hazidanganyi. Soma hii...Mbona unalazimisha ubaguzi uwepo?
Kuna huyu jamaa DIBAJI alinitapeli kwa ulaghai wake kisa anaishi marekani akanamnia nimtafutie kiwanja Dodoma, na hakika nilizunguka mji mzima takribani kwa week mbili nikapata kiwanja,nilimwambia jamaa na kirahisi tu akanambia amehahirisha bila hata kusema asante,mzunguko huo nilipiteza pesa zangu na mda wangu na jamaa hakutimiza ahadi.yake kwangu ya kuninunulia bajaji ya ambayo ningeendesha kwa mkataba.
Popote ulipo ulaaniwe sana wewe jamaa DIBAJI
Hakuna baya lolote la waarabu ulilowahi kulisikia.Dah, sijawahi kusikia nchi za Kiarabu wanawaua watu kwa kuomba omba, tena ndio wanapenda kweli kusaidia waombao.
Bara Indi, Mkuu.Ndio nchi gani hyo mkuu
Kwa hiyo hawa (naweka link chini hapo) wanao-tuaminisha watu weusi kuuliwa huko na polisi kiubaguzi ni waongo tu?Kuuliwa hakuusiani na ubaguzi race zote wanauliwa by mistake au by act
Soma hiyo: George Floyd: Timeline of black deaths and protestsHakuna baya lolote la waarabu ulilowahi kulisikia.