TANZIA Mtanzania auliwa kwa kupigwa risasi Marekani, anaitwa RODGERS KYARUZI, alipata maluweluwe

Hili la dharau true kuna jamaa alienda US kurudi kitaa kila mtu alikua anamuona takataka mpaka nikajiuliza wanapewa nini wenzetu huko,Yan wengi wanajiona kama wanatoka mbinguni,sijui ushamba tu unawasumbua!

Pole mkuu. Ila mara ngapi watu wa mjini wanawaletea dharau watu wa mikoani? Wa Kinondoni anajiona bora zaidi ya wa Mbagala, n.k. Cha msingi ni kujiamini na kuridhika na hali yako, mengine huwezi control.
 
Huyu dogo anaonekata kukitafuta kifo chake baada ya kuiga mambo ya vijana wa Kimarekani. Kafanya "TIZI" na kupata kifua cha kuku basi akaanza mambo ya ubabe wa hapa na pale hadi kufikia kutaka kupokonya bunduki ya polisi, polisi naye kwa sheria ya kwao ambapo hata hapa kwetu ipo akawa hatarini na akatumia silaha ya moto kwa mtu anayehatarisha usalama. RIP dogo wa Ki-ishomile.
Aaah kumbe sio ubaguzi uliomuua?
 
Kuna huyu jamaa DIBAJI alinitapeli kwa ulaghai wake kisa anaishi marekani akanamnia nimtafutie kiwanja Dodoma, na hakika nilizunguka mji mzima takribani kwa week mbili nikapata kiwanja,nilimwambia jamaa na kirahisi tu akanambia amehahirisha bila hata kusema asante,mzunguko huo nilipiteza pesa zangu na mda wangu na jamaa hakutimiza ahadi.yake kwangu ya kuninunulia bajaji ya ambayo ningeendesha kwa mkataba.

Popote ulipo ulaaniwe sana wewe jamaa DIBAJI
 
FF hiyo paragrafu ya pili inaeleza kuwa kauawa na polisi baada ya huyo ndugu yetu kutaka kunyang'anya bastola ya polisi...

Hivyo naona wakamdhibiti kwa kumchapa risasi na akafia hospitalini...
Nimeelewa, swali langu huyo aliyemuua alikuwa mweupe au mweusi mwenzake? Maana tunasoma kwenye mitandao mauaji ya weusi kwa kuuliwa na polisi yalishamiri hivi karibuni huko USA. Au hujayasikia wewe?
 
Nilifanyiwa semina ya namna hii kabla ya Kwenda Kanyakumar, Tamil Nadu. Nikaelezwa utamaduni wa huko na namna ya kuchangamana na raia wa huko. Ilikuwa semina muhimu sana na ilinisaidia sana.

Ndio nchi gani hyo mkuu
 
Kuna huyu jamaa DIBAJI alinitapeli kwa ulaghai wake kisa anaishi marekani akanamnia nimtafutie kiwanja Dodoma, na hakika nilizunguka mji mzima takribani kwa week mbili nikapata kiwanja,nilimwambia jamaa na kirahisi tu akanambia amehahirisha bila hata kusema asante,mzunguko huo nilipiteza pesa zangu na mda wangu na jamaa hakutimiza ahadi.yake kwangu ya kuninunulia bajaji ya ambayo ningeendesha kwa mkataba.

Popote ulipo ulaaniwe sana wewe jamaa DIBAJI

Pole sana yaliyokukuta,usiwaamini watu sana kwenye mitandao hii wengine sio waaminifu!
 
Kuna huyu jamaa DIBAJI alinitapeli kwa ulaghai wake kisa anaishi marekani akanamnia nimtafutie kiwanja Dodoma, na hakika nilizunguka mji mzima takribani kwa week mbili nikapata kiwanja,nilimwambia jamaa na kirahisi tu akanambia amehahirisha bila hata kusema asante,mzunguko huo nilipiteza pesa zangu na mda wangu na jamaa hakutimiza ahadi.yake kwangu ya kuninunulia bajaji ya ambayo ningeendesha kwa mkataba.

Popote ulipo ulaaniwe sana wewe jamaa DIBAJI
Udalali Una faida na hasara zake!
Pole!
Wapo watu wapo Bongo humu, namba zao WhatsApp ni za US, UK, China, Singapore, India, Sweden e.t.c
 
Mbona unalazimisha ubaguzi uwepo?
Nalazimisha wakati upo kweli? Takwimu hazidanganyi. Soma hii...

People shot to death by U.S. police 2017-2022, by race​

Published by Statista Research Department, May 9, 2022
Sadly, the trend of fatal police shootings in the United States seems to only be increasing, with a total 358 civilians having been shot, 17 of whom were Black, as of May 2022. In 2021, there were 1,055 fatal police shootings, and in 2020 there were 1,021 fatal shootings. Additionally, the rate of fatal police shootings among Black Americans was much higher than that for any other ethnicity, standing at 38 fatal shootings per million of the population as of May 2022.
 
Kuna huyu jamaa DIBAJI alinitapeli kwa ulaghai wake kisa anaishi marekani akanamnia nimtafutie kiwanja Dodoma, na hakika nilizunguka mji mzima takribani kwa week mbili nikapata kiwanja,nilimwambia jamaa na kirahisi tu akanambia amehahirisha bila hata kusema asante,mzunguko huo nilipiteza pesa zangu na mda wangu na jamaa hakutimiza ahadi.yake kwangu ya kuninunulia bajaji ya ambayo ningeendesha kwa mkataba.

Popote ulipo ulaaniwe sana wewe jamaa DIBAJI

😂😂
 
Back
Top Bottom