Wafuasi wa Rais
Senior Member
- May 31, 2023
- 151
- 147
Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Rais.
Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Makamu wa Rais.
Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu.
Mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu.
Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi.
Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Polisi (IGP).
Mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa Magereza.
Mwanamke wa kwanza kuwa Muendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali.
Mwanamke wa kwanza kuwa Gavana wa Benki Kuu.
Rekodi bado zipo nyingi unaweza kuongeza.
Je, nani atafanikiwa kuvunja rekodi mojawapo?. Huu uzi utaishi miaka mingi sana ijayo.
Rekodi alizoweka Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ngazi ya juu:
Note:
Tukiwa kama Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais yaani President Supporters Network tunaendelea kutoa jukwaa yaani platform kwa ajili ya mtu yeyote kujitolea kwa niaba ya Rais kuhudumia jamjj bila kujali chama, elimu, mali, jinsia wala umri.
Taifa letu. Linatutegemea kila mmoja kwa uwezo wake.
- Tunakusaidia kukuleta karibu na utawala -

- Mwanamke wa kwanza kuwa makamu wa Rais.
- Mwanamke wa kwanza kuwa Makamu wa Rais kisha Rais.
- Mwanamke wa kwanza kuwa Rais.
- Mwanamke wa kwanza kuwa Amiri Jeshi Mkuu.