Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

kwani kuna rais ambaye amewahi kuwa rais wa JMT bila ya kuwa amiri jeshi mkuu?

kwanini useme mwanamke wa kwanza kuwa raisi.
na pia useme mwanamke wa kwanza kuwa amiri jeshi mkuu?

haikutosha kwa ujumla useme mwanamke wa kwanza kuwa rais?
Achana na machawa. Amesahau sifa ya kuruhusu mawaziri/viongozi kula kwa urefu wa kamba zao
 
Relax. Kila kitu kitakaa sawa. Ondoa hofu
Yaani mali za umma zinatafunwa halafu unaniambia ni "relax"?
IMG_20240419_110410.jpg
 
Rais ni lango la Taifa lako. Hupitisha baraka ama laana. Ukimkana maana yake umekana lango la nchi yako. Guess what next?

Siasa sizikutie upofu wa fikra. Ni janga.
Kichwa changu nitakishauri kiwe neutral basi ila fumbua macho itazamwe mbele uone vizuri
 
Wewe siku kuwa nyuma ya Rais bila kujali chama chake cha siasa. Mengine waachie wanasiasa na itikadi zao
Ujue nini sema kagusa pabaya nafuata sheria ila bado kuna kizingiti that's why Sitowahi kujigamba mbele za watu na nina rais never labda awe dikteta ndio nitamsifia
 
Rekodi alizoweka Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ngazi ya juu:

  • Mwanamke wa kwanza kuwa makamu wa Rais.
  • Mwanamke wa kwanza kuwa Makamu wa Rais kisha Rais.
  • Mwanamke wa kwanza kuwa Rais.
  • Mwanamke wa kwanza kuwa Amiri Jeshi Mkuu.
Achana na hizo chukua hizi
•raisi wa kwanza kuwa na msafara wenye magari zaidi ya 100
•raisi wa kwanza kuwa na machawa wengi zaidi
•raisi wa kwanza kujifanya chura kiziwi
•rais wa kwanza kuhalalisha upigaji kupitia kauli ya "kula kulingana na kamba "
Hizi ndio rekodi za kweli kwa sie wazalendo
 
Back
Top Bottom