Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

umesema tuongezee rekodi zake, nami nmekuongezea rekodi yake nyingine kuwa "ni mwanamke wa kwanza kuwa mwenyekiti wa CCM"

Kwani hii siyo sifa yake pia?

kama ni sifa yake pia rudi kwenye bandiko lako hapo juu uiongeze.
Shukrani sana. Nimekupata sawia
 
Hatujasahau..

Mama anaupiga mwingi.
IMG_20240611_163734.jpg
 
Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Rais.

Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Makamu wa Rais.

Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu.

Mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu.

Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi.

Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Polisi (IGP).

Mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa Magereza.

Mwanamke wa kwanza kuwa Muendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali.

Mwanamke wa kwanza kuwa Gavana wa Benki Kuu.

Rekodi bado zipo nyingi unaweza kuongeza.

Je, nani atafanikiwa kuvunja rekodi mojawapo?. Huu uzi utaishi miaka mingi sana ijayo.

Rekodi alizoweka Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ngazi ya juu:


  • Mwanamke wa kwanza kuwa makamu wa Rais.
  • Mwanamke wa kwanza kuwa Makamu wa Rais kisha Rais.
  • Mwanamke wa kwanza kuwa Rais.
  • Mwanamke wa kwanza kuwa Amiri Jeshi Mkuu.

Note:

Tukiwa kama Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais yaani President Supporters Network tunaendelea kutoa jukwaa yaani platform kwa ajili ya mtu yeyote kujitolea kwa niaba ya Rais kuhudumia jamjj bila kujali chama, elimu, mali, jinsia wala umri.

Taifa letu. Linatutegemea kila mmoja kwa uwezo wake.

- Tunakusaidia kukuleta karibu na utawala -
Records baada ya Rais wa wanna hi kufariki?
 
Back
Top Bottom