DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe punguwani kwa hiyo mtu akipata nafasi ya kusoma nje asiende ili akufurahishe wewe masikini
 
Una ujuaji wa kijinga.
 
Unacheza wewe, mimi niligombana na dada yangu wa-tumbo moja halafu makaratasi yenyewe kupata ilikuwa kupitia kesi yake.

Halafu familia inaniambia niombe msamaha yaishe, I don’t roll like that if you are wrong bora ni bebe consequences za maamuzi yangu lakini uwezi nikosea halafu niombe msamaha kisa makaratasi na kwenye kesi yake akanitoa.

Huo mziki uliofuata naujua mimi tu nilitokaje hadi kupata makaratasi huyo Jane mkubwa mimi ndio kwanza nilikuwa early 20’s, maza nae ndio ghafla mauti (angekuwepo pangechimbika). Nina mifano na story nyingi sana zangu na washkaji zangu miaka hiyo ya changamoto zetu.

Ndio maana sijapenda alivyo mrekodi huyo dada at her worst, vulnerable, without friend and family support. That’s just humiliation.
 
Maisha haya daa
Halafu balozi zetu huwa hazina msaada kabisa sijui kwanini

Kuna mataifa hata mtu wao akifungwa au kuhukumiwa kufa watamtoa.

Sasa masikini huyo tena mwanamke wanashindwa hata kumpeleka hospitali
Balozi za kwetu ni za kipumbavu sana. Hazina msaada hata chembe kwa watanzania wenzao wenye shida. Mtu katoa taarifa na ameelekezwa jimbo alipo. Wanashindwa kutrack hadi wampate na kumrjesha nyumbani. Hawa watu ni qumer sijawahi kuona.
 
Sasa si ndo wee umsaidie hapo kwa kumuhifadhi na nk, huku ukisubiri ndugu zake wajitokezee.

Kumuacha ahangaike na huku unamtangaza, si unamchoresha tyuu.
Huna akili,sasa ulitaka asimtangaze?ukute nawe umeshiriki kumroga huyo
 
Safi. Ufahamu kuwa siyo kosa kumrekodi mtu mtaani. Ukishatoka kwako hauna haki ya kudai privacy kisheria. Unaweza kupigwa picha na kuchukuliwa video.
Mtu anakwambia sitaki niache kwanini ulazimishe kumrekodi na kumpa msaada ambao hana shida nao?

Halafu unatoka hapo unaenda rusha maudhui mitandaoni na kumwita chizi? Hakuna tafsiri nyingine ya hiyo act zaidi ya udhalilishaji.

Give a dog a bad name and hang him. Ndio nilichokiona hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…