Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

Wakimuomba Mungu watekaji wataachia salama baada ya roho za utekaji kutoweka
 
nigeria taifa la kifala sana waje wafundishwe huku kwetu masuala ya usalama na intelejensia.
YAmekalia utapel tu na uzinzi kulinda watu na kutekeza vikund vya ugaidi yanashindwa
Mbona panyaroad na vibaka tumewashindwa
 
Huyo katekwa na wenzake wa karibu.Ukichunguza tu,kwa mwenye akili,ataona huu ni mpango wa ndani.Mtu wa nje,atamjuaje huyu ni mgeni,!na anatoka wapi,na anahusika na nini,na huko aliko wana uwezo wa kulipa pesa ndefu?
 
Serikali ya Tanzania yenyewe kutwa inatetewa na magaidi. Sijui kama ata wana habari.

Sina ila kuna mambo yanakera sana alafu wao kutwa kulalamika wanaonewa.

Waislam wana shida sana.

Halafu baadaye mna lia lia oooooh dini yetu ni ya amani....Rubbish

Wapi wametajwa kuwa ni Waislam? Nigeria ni nchi ina magenge mengi ya kihalifu na kigaidi na hayajinasibishi kabisa na Uislam. Na huwa yanateka watu na kulazimisha yatumiwe pesa yawaachie huru. Yanaua watu wasio na hatia pia mpaka kanisani.

Kuna magenge ya kigaidi kama Indigenous People of Biafra (IPOB) na Eastern Security Network (ESN) ambayo yanapambania kujitenga na Nigeria na yanaua watu wasio na hatia. Bado kuna magenge mengi.

Na hata kama ingelikuwa ni Boko Haram, ambao wanajinasibisha na Uislam, Uislam uko mbali nao hao khawaaarij ambao huwaua watu wasio na hatia na wengi wanaouliwa na hawa mbwa wa motoni ni Waislam.
 
Mara nyingi eneo kukiwa na vikundi vya uasi watu hutumia mwanya huo kutekana na kuwaangushia jumba bovu. Kama ambavyo kipindi cha magonjwa ya milipuko kama Corona ,watu humalizana kwa sumu na jumba huangushiwa Corona. Mi Muislam, naomba apatikane salama na Mwenyezi mungu amuongoze. Miaka 23 aloishi Mtume (s.a.w) hajawahi kuvamia kanisa na kuteka mtu
 
Mungu wake amlinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…