t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
South African hitman hawezi kuja kufanya tukio kwenye ardhi ya Tanzania .inawezekana pia maana naona kuna wakati mpaka "hit man's" wanatumwa bongo kuja kumaliza watu waliodhulumu huko.
Shida vijana wengi wakibongo uelewa mdogo sana na ukosefu wa good primary education, unatoka kwenu bongo nakwenda kuwa mwizi wa mifukoni SA, na michongo mingine ya kifalafala ambayo hata hapa bongo inawezekana tu.
Vijana wengi wanataka kuishi SA kama sifa tu lakini hakuna wanachogain.
Hitmen ni organised crime ambayo lazima kuwe na base., Mtu mmoja au wawili hawawezi toka south kuja kuuwa mtu bongo , hizo story ulidanganywa