pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kama mwizi au mhalifu acha auawe tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu kubwa mkuu wangu.Sielewi kwa sababu gani wa Tanzania tunaishi tofauti na wenzetu. Badala ya kuenda mbele sisi tunaludi nyuma.
Muda mungine mtu unaona aibu kujitambulisha kama mtanzania, maana ni aibu kubwa.Dunia inaenda KULIA, waTZ tunaenda KUSHOTO tukisema tutakutana KATIKATI.
Hatufiki ndio hayo yanatokea.
Ushauri uliotoa ni mzuri sana, lkn ndugu zetu huwa hawapendi kushauriwa mambo ya maana kama haya.Dunia ya leo ambapo kuna VETA NA SIDO, kijana jnatakiwa uchangamkie fani kwanza upewe kijicheti chako, kwanza ujifunze kupaka rangi magari na ujue kweli, ukajifunze kushona nguo kama una nia miaka miwili ushajua kabisa, ujenzi wa majumba na decoration tena kisasa kabisa, ufundi wa magari hapa nenda garage za mtaani piga spana za kutosha veta katafute cheti tu, ukiwa na fani amini utakakoenda lazima utapata sehemu ya kuanzia, hasa unaenda nchi za watu hauna ujuzi wowote unawaza ukauze drugs mimi nakuona ni mwehu tu hata ukiuliwa naandika RIP napita kushoto
Nakwambia raia wa nchi zaidi ya 50 wako hapa na hawauwawi hovyo kwa sababu wanafanya kazi za mikono yao, wanatumia vyema akili zao. Ila wabongo, wazim na mashangani ndio majanga.Warundi mbona hawafi hovyo na kwasouth wanaaminika sababu wanajituma na wengi wako kihalali na work permit wao ni fasta wanapata, lazima watanzania tubadilike unakuta mtu analipuka tu kwenda south hajui hata akafanye nini
Best karibu jukwaani 😂😂🤗Maskini
Sahihi kabisa , ukiona hadi unaingia kwenye anga za hao washika bunguki , "ama 7 phezulu" jua na wewe sio msafi .Tusiwalaumu jamaa tu peke yao. Tujilaumu na sisi wenyew kwa kukosa kuwa na njia nyingine ya kujipatia rizki kihalali.
Hahaha ulichoongea ni kweli. Hii nchi unafursa nyingi kama utajua kuzitumia vyema fursa zilizopo utatoboa tu. Mbona wasomali wanatoboa kwa biashara mbali mbali.Ila ukweli wangu broh siwezi kwenda SA kufanya kibarua cha mashambani au kuvua fish......
I rather be a misheni town ila siyo kuuza ngada na vitu vya wizi....kwani nikiuza nguo na viatu siwezi toboa, jibu ni kuwa nitatoboa chap tu.
Tatizo vijana wa bongo wanataka kuwa mabeach boy na usuper star wa kishamba...wakati kwao bongo mama analia njaa.
Swadakta kabisa mkuu. Wacha tujaribu kuokoa wenzetu kupitia njia hizi za ushauri.Ni kweli Kabisa.
Kwenye Mia hatuwezi kukosa hata mmoja
Ok mkuu wangu.Nimekuuliza mkuu sijasema.
Uyo jamaa ni msela angu tumekuwa naye mitaa ya sombetini tumeuza Sana bangi à.k.a mpepe au shada maeneo ya singida na mwanza wakati uo tunashafirisha kupitiya magari ya magazeti na mizigo.Nimeweka kiti kabisa namsubiri yoyote mwenye ufahamu na ishu hii niliyoiandika.
Nimezika washkaji wanne tena wawili madogo kwangu wamepigwa shaba yaani kweupe hakuna kesi wala nn tumezika ...Kingine hebu nendeni kule Facebook Kuna group linaitwa sailors then angalieni watu wanavyokufa daily nyie jiungeni then muone watu wanavyokufa .
Tuacheni ushabiki nchi za watu ni hatar sana sio waarabu , wazungu wala waafrica wenzetu
View attachment 2543417
Hatari sana hukoHuyu dogo sijui nini kimemkuta maana Brother ake mkongwe hapo kitambo na nina uhakika ana ramani na address zote za J'berg.
Kweli kabisa mkuu. Lakini pia na ndugu zetu wabongo wanazingua sana ndo maana kila siku wanakufa wao tu.Makaburu walikuwa sahihi, huwezi ishi na watu primitives mkaenda sawa.
Kata K, leso nyuma linaning'inia, sigara yake mkononi anadundika mwenyew anaona ujanja kwamba anaweza kumpiga mtu yoyote ndole aondoke na sim. Matokeo yake sim anaiacha anaondoka yeye duniani.Wabongo upeleka uselemavi wanaiga wenyeji