Dah mkuu asante kwa hii comment. Sikujua hili kabisaOf course mama yake huyo mama; I mean mke wa Hussein bibi yake hicho kibinti ni mwingereza pure! So, huyo mama mke wa Maktoum Uingereza ni kwa wajomba zake. Yuko ujombani na unajua nguvu za wajomba.
Katika wake aliyempenda kuliko wote ni huyu Haya. Jamaa alilia sana na kumuandikia mashairi kwasababu huyu mfalme ni mshairi na poet mzuri sana.Kiufupi mm ningekuwa huyo mfalme wa Dubai huyo mlinzi na mke wangu wasinge kuwa wanaishi mpaka sasa.
Hivi huyo mkewe si alikuwa Muingereza tangu mwanzo ana muoa?Katika wake aliyempenda kuliko wote ni huyu Haya. Jamaa alilia sana na kumuandikia mashairi kwasababu huyu mfalme ni mshairi na poet mzuri sana.
Kinachomuuma zaidi ni kuwa hawezi kuanana na watoto wake huyu binti na kijana wake licha ya nguvu na mamlaka ya pesa.
Inasemekana mfalme wa Dubai ni dikteta hata kwa wake zake.
Ila wake zake wengine wametulia hata sura zao hazijulikani ni huyu haya mapepe.
Na kakubali kumlipa million 200 pauni na hela zingine tu ili atunze hao madogo.
Alipewa zawadi na ufalme wa Jordan kuimarisha uhusiano. Ni binti wa marehemu king Hussein wa Jordan mdogo wake king Hussein sasa hivi.Hivi huyo mkewe si alikuwa Muingereza tangu mwanzo ana muoa?
Ila huyu kiongozi wa Dubai wenda si mtu katili ,nakuhakikishia hicho kitu ange kuwa kafanyiwa huyu mwana mfalme wa Saudia huyo manamke na mlinzi wake wasinge kuwa hai kwa gharama yeyote ile.
Sana tu. Mfuatilie The bold kwenye story yake MTAWALA WA DUBAI. Iko fullYana ukweli haya ?
Unataka kusema nini?Maghayo kwanini Huyo Haya binti Hussein havai maushungi kama binti Hassan aka kiongozi shupavu au yeye hana dini.
Kujistiri ni ulimbukeni?utaelimika lini?Wao siyo malimbukeni wa dini.
Sahihisho hakuna mwenye dini yake.wala muarabu uislam sio dini yake.Waarabu wa bongo bana! Wanajiona wao ndio wanajua uaraaabu, wanajifunika nguo gubigubi, kwa Wana wake. Wanaume vipedo na furushi la midevu lakini ona wenye dini na Mila zao wanakula Raha wewe wamekuachia utumwa. Eti unasubiri firidausiii .....ogopa
Dini ni ya muarabu boss. Utake ni hivyo usitake ni hivyo hivyo tuuSahihisho hakuna mwenye dini yake.wala muarabu uislam sio dini yake.
Uislam sio dini ya muarabu.maana kuna mitume ya kiyahudi ilikuja kutangaza uislam.utume na kutangaza mungu mmoja hyo kazi ilianza kwa Adam,akaja,lutwi,nuhu ukaenda akaja Ibrahim na watoto wake ikaja kwa wajukuu zake.ikapotea ikarudi tena kwa musa,zakaria,akaja yahaya ikaja kwa yesu mpaka ikamfikia Muhammad. Utasemaje uislam ni dini ya muarabu?au dini ya Muhammad.?Dini ni ya muarabu boss. Utake ni hivyo usitake ni hivyo hivyo tuu
1. Mfalme dini gani?Mama yake alikataa. Anasema hataki binti yake awe mtumwa anataka akue kwa uhuru. Ndo maana alitorokea uingereza. Na alishinda kesi ya talaka na kulipwa 200 millions pauni na mtawala wa Dubai.
Cha kushangaza hakimu alitupilia mbali madai yake hayo ya binti yake kutaka kuolewa na MBS na kumuambia n8 mambo ya familia. Ila hata hivyo alimpa full custody ya binti yake na mtoto wake mwengine.
🔹 Hakuna Mtume mwarabuUislam sio dini ya muarabu.maana kuna mitume ya kiyahudi ilikuja kutangaza uislam.utume na kutangaza mungu mmoja hyo kazi ilianza kwa Adam,akaja,lutwi,nuhu ukaenda akaja Ibrahim na watoto wake ikaja kwa wajukuu zake.ikapotea ikarudi tena kwa musa,zakaria,akaja yahaya ikaja kwa yesu mpaka ikamfikia Muhammad. Utasemaje uislam ni dini ya muarabu?au dini ya Muhammad.?
Hivi uislamu ulianza lini?Uislam sio dini ya muarabu.maana kuna mitume ya kiyahudi ilikuja kutangaza uislam.utume na kutangaza mungu mmoja hyo kazi ilianza kwa Adam,akaja,lutwi,nuhu ukaenda akaja Ibrahim na watoto wake ikaja kwa wajukuu zake.ikapotea ikarudi tena kwa musa,zakaria,akaja yahaya ikaja kwa yesu mpaka ikamfikia Muhammad. Utasemaje uislam ni dini ya muarabu?au dini ya Muhammad.?
Unatafuta ugomvi na Mohamad saidHawavai Baibui?
Tangu binadamu wa kwanza Adam.alihubiri Mungu mmoja.ambayo ndio shahada ya kuwa muislamuHivi uislamu ulianza lini?
Ibrahim na isihaka na is mail walihubiri dini gani?🔹 Hakuna Mtume mwarabu
🔹 Hakuna dini iitwayo ya kiislam iliwahi kuhubiriwa Wala kutabiriwa na manabii wa kiyahudi