Mtawala Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alivunjika moyo kujua wazi hatamuoa binti wa mfalme wa Dubai

Kiufupi mm ningekuwa huyo mfalme wa Dubai huyo mlinzi na mke wangu wasinge kuwa wanaishi mpaka sasa.
Katika wake aliyempenda kuliko wote ni huyu Haya. Jamaa alilia sana na kumuandikia mashairi kwasababu huyu mfalme ni mshairi na poet mzuri sana.

Kinachomuuma zaidi ni kuwa hawezi kuanana na watoto wake huyu binti na kijana wake licha ya nguvu na mamlaka ya pesa.

Inasemekana mfalme wa Dubai ni dikteta hata kwa wake zake.

Ila wake zake wengine wametulia hata sura zao hazijulikani ni huyu haya mapepe.

Na kakubali kumlipa million 200 pauni na hela zingine tu ili atunze hao madogo.
 
Hivi huyo mkewe si alikuwa Muingereza tangu mwanzo ana muoa?

Ila huyu kiongozi wa Dubai wenda si mtu katili ,nakuhakikishia hicho kitu ange kuwa kafanyiwa huyu mwana mfalme wa Saudia huyo manamke na mlinzi wake wasinge kuwa hai kwa gharama yeyote ile.
 
Alipewa zawadi na ufalme wa Jordan kuimarisha uhusiano. Ni binti wa marehemu king Hussein wa Jordan mdogo wake king Hussein sasa hivi.
 
Huyo mfalme wa Dubai ana sura ya kihindi wale South India.. Pia Wanaojiita Waarabu wa Qatar nao ni wahindi pia.. Kahaba pia asili yake ya kuwarship ni from India too kwa kila kitu.. kuvaa lubega after hija ya uchi kukatazwa, kuzunguka na kutupa mawe kumpiga shetani ni ibada complete ya wapagani hindu.. just google it
 
Waarabu wa bongo bana! Wanajiona wao ndio wanajua uaraaabu, wanajifunika nguo gubigubi, kwa Wana wake. Wanaume vipedo na furushi la midevu lakini ona wenye dini na Mila zao wanakula Raha wewe wamekuachia utumwa. Eti unasubiri firidausiii .....ogopa
Sahihisho hakuna mwenye dini yake.wala muarabu uislam sio dini yake.
 
Dini ni ya muarabu boss. Utake ni hivyo usitake ni hivyo hivyo tuu
Uislam sio dini ya muarabu.maana kuna mitume ya kiyahudi ilikuja kutangaza uislam.utume na kutangaza mungu mmoja hyo kazi ilianza kwa Adam,akaja,lutwi,nuhu ukaenda akaja Ibrahim na watoto wake ikaja kwa wajukuu zake.ikapotea ikarudi tena kwa musa,zakaria,akaja yahaya ikaja kwa yesu mpaka ikamfikia Muhammad. Utasemaje uislam ni dini ya muarabu?au dini ya Muhammad.?
 
Mama yake alikataa. Anasema hataki binti yake awe mtumwa anataka akue kwa uhuru. Ndo maana alitorokea uingereza. Na alishinda kesi ya talaka na kulipwa 200 millions pauni na mtawala wa Dubai.

Cha kushangaza hakimu alitupilia mbali madai yake hayo ya binti yake kutaka kuolewa na MBS na kumuambia n8 mambo ya familia. Ila hata hivyo alimpa full custody ya binti yake na mtoto wake mwengine.
1. Mfalme dini gani?

2. Ana agenda gani ya kumuwazia mtoto (chini ya miaka 18) mambo ya mapenzi? Huko Madrasa watoto wapo salama?
 
Uislam sio dini ya muarabu.maana kuna mitume ya kiyahudi ilikuja kutangaza uislam.utume na kutangaza mungu mmoja hyo kazi ilianza kwa Adam,akaja,lutwi,nuhu ukaenda akaja Ibrahim na watoto wake ikaja kwa wajukuu zake.ikapotea ikarudi tena kwa musa,zakaria,akaja yahaya ikaja kwa yesu mpaka ikamfikia Muhammad. Utasemaje uislam ni dini ya muarabu?au dini ya Muhammad.?
🔹 Hakuna Mtume mwarabu

🔹 Hakuna dini iitwayo ya kiislam iliwahi kuhubiriwa Wala kutabiriwa na manabii wa kiyahudi
 
Uislam sio dini ya muarabu.maana kuna mitume ya kiyahudi ilikuja kutangaza uislam.utume na kutangaza mungu mmoja hyo kazi ilianza kwa Adam,akaja,lutwi,nuhu ukaenda akaja Ibrahim na watoto wake ikaja kwa wajukuu zake.ikapotea ikarudi tena kwa musa,zakaria,akaja yahaya ikaja kwa yesu mpaka ikamfikia Muhammad. Utasemaje uislam ni dini ya muarabu?au dini ya Muhammad.?
Hivi uislamu ulianza lini?
 
Back
Top Bottom