Mtawala Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alivunjika moyo kujua wazi hatamuoa binti wa mfalme wa Dubai

Ukirudi kwemye point zangu za juu..nimeeleza vizuri.kuwa ujumbe wa kila mtume ni kuhubiri MUNGU MMOJA.sasa Muhammad na yesu watatofautiana vipi wakati wamepewa ujumbe mmoja?na ndo maana hata vitabu vyao vinafanana.kama wasingekuwa na ujumbe mmoja vitabu walivyopewa visingefanana.sijui umeelewa?
 
Alafu Muhammad s.a.w.hakuwa anajua kusoma wala kuandika.ukisema alocopy quran kwenye biblia utakuwa unakosea.mana hata yeye kafundishwa.yeye alikuwa anakariri anachoambiwa anakwenda kuwaambia watu.na mungu alijua hilo kuwa mtakuja kusema kacopy ndo maana akamfanya asijue kusoma wala kuandika. Kwa hyo hoja yako kuwa Muhammad kacopy quran kwenye biblia HAINA MASHIKO
 
Alipewa zawadi na ufalme wa Jordan kuimarisha uhusiano. Ni binti wa marehemu king Hussein wa Jordan mdogo wake king Hussein sasa hivi.
Basi wenda hicho ndo kinacho mlinda kwa sababu ya mahusiano yaliyopo kati ya UAE na Jordan.
 
Women eeh! Yaani mlinzi kapewa mbususu na kuhongwa range. Aisee usimuonee huruma kiumbe anaifwa mwnamke...yaani wee mkule alafu mtupe kule usisahau na kumtemea mate kabisaaa
 
Hapo mungu hawezi kuwa mmoja.si unaona zipo nafsi 3.soma aya ya 3.yesu anasemaje hapo?
Mungu Mmoja Baba Mwana Na Roho Mtatatifu na sio yule wa Kaaba Al lah aliyeabudiwa na Babu Yake Mohamadi.
 

Attachments

  • Screenshot_20240211_182803_Biblia Takatifu.jpg
    131.8 KB · Views: 2
Mungu Mmoja Baba Mwana Na Roho Mtatatifu na sio yule wa Kaaba Al lah aliyeabudiwa na Babu Yake Mohamadi.
Kula aya kijana hizo.alafu uniambie kuna kitabu gani kizuri kuishinda Qur'an. MNAFELI WAPI
 

Attachments

  • Screenshot_20240211_220136_Samsung Internet.jpg
    120.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240211_220233_Samsung Internet.jpg
    124.5 KB · Views: 2
Unaitwa mjinga Mimi 🤣 🤣 🤣
 
Waarabu wa bongo bana! Wanajiona wao ndio wanajua uaraaabu, wanajifunika nguo gubigubi, kwa Wana wake. Wanaume vipedo na furushi la midevu lakini ona wenye dini na Mila zao wanakula Raha wewe wamekuachia utumwa. Eti unasubiri firidausiii .....ogopa
Wazungu kuna wakristo safi na pia kuna washenzi wasiokuwa na dini na wapjnga kristo na pia waarabu kuna waislamu safi na kuna washenzi wasiodini kinachoangaliwa sio race bali imani na mafunzo yake na watu hawafuati aina ya race bali maandiko ya mungu .
 
Mrembo kweli kweli huyo binti....hata mimi ningehuzunika.
 
Waarabu wa bongo bana! Wanajiona wao ndio wanajua uaraaabu, wanajifunika nguo gubigubi, kwa Wana wake. Wanaume vipedo na furushi la midevu lakini ona wenye dini na Mila zao wanakula Raha wewe wamekuachia utumwa. Eti unasubiri firidausiii .....ogopa
Yaani jua na joto kali la Dar , lakini mtu amejifungia maushungi kama mashuka tena meusi! nawanaonea huruma sana.
 
Of course mama yake huyo mama; I mean mke wa Hussein bibi yake hicho kibinti ni mwingereza pure! So, huyo mama mke wa Maktoum Uingereza ni kwa wajomba zake. Yuko ujombani na unajua nguvu za wajomba.
Asante mkuu nimeangalia hizo nywele nikajiuliza mbona siyo za kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…