Mtawala Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alivunjika moyo kujua wazi hatamuoa binti wa mfalme wa Dubai

tafuta quran ya kisukuma uone kama utaipata , dini ya waarab hiyo , kiherehere chenu tu
 
waislam watalipinga na hili pia
 
Waarabu wa bongo bana! Wanajiona wao ndio wanajua uaraaabu, wanajifunika nguo gubigubi, kwa Wana wake. Wanaume vipedo na furushi la midevu lakini ona wenye dini na Mila zao wanakula Raha wewe wamekuachia utumwa. Eti unasubiri firidausiii .....ogopa
Waarabu wa Nzega wa humu jf. Wafuasi wa boko haram na Hamas na alqaida
 
Waarabu wa bongo bana! Wanajiona wao ndio wanajua uaraaabu, wanajifunika nguo gubigubi, kwa Wana wake. Wanaume vipedo na furushi la midevu lakini ona wenye dini na Mila zao wanakula Raha wewe wamekuachia utumwa. Eti unasubiri firidausiii .....ogopa
ama kweli ule msemo wa 'nyani haoni .... nini vile?'
Hivi nyinyi muliojivisha ukristo, mukaokoka na kujipa vyeo vya mitume na kujimwagia maji ya upako kweli muna mlahaka wa kuwasema wenzenu?

Kwa kumbukumbu tu ni kwamba siyo waarabu wote ni waislamu, pili huyo binti mama yake ni mzungu mmarekani (alikuwa mchezaji filamu) aliebadili dini kwa hivyo si ajabu kuvaa hivyo.
 
Of course mama yake huyo mama; I mean mke wa Hussein bibi yake hicho kibinti ni mwingereza pure! So, huyo mama mke wa Maktoum Uingereza ni kwa wajomba zake. Yuko ujombani na unajua nguvu za wajomba.
Mama yake Haya alikuwa ni mmisiri
 
so kwavile alibadili sio sawa kumwita muislam??
 
Pisi zote kwenye hizi picha ni mbovu, miguu kama ya kirikuu
 
Miaka 600 baada ya Yesu kupaa mbinguni.
Kwa hiyo wakati Mungu ashamaliza mpango wa kuwakomboa wanadam ndipo baada ya karne sita kupita anatokea mwanadamu anasema katumwa na Mungu kuleta dini ya kweli yaan kama vile ndo Mungu anajifunua kwa wanadamu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…