Mtawala Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alivunjika moyo kujua wazi hatamuoa binti wa mfalme wa Dubai

Dini ni ya muarabu boss. Utake ni hivyo usitake ni hivyo hivyo tuu
Waarabu wenzie mtume walimpiga mawe,wakamfukuza mjini,wakapigana nae Vita kupinga uislam,so ukisoma neno makafiri,washirikina nk kwenye Qur'an jua hao walikua waarabu,so uislam si Mali ya muarab,palikua na Bilal bin rabah,mfuasi wa mwanzo wa mtume alikua mndengereko pure
 
hakuna shida ya aliyesilimu kumwita muislamu, lakini inawezekana pia watoto wakafuata mila za wajomba zao.
swala ni kwamba ni muislam aliyeolewa na familia ambayo uislam sio dini tu kwake ila ni tamaduni kabisa.

ndio maana wananzengo wanahoji,iweje apuuzie vazi maalufu la dini yake??
 
Sioni uislam hapo. Duh! Wenye dini wameamua kuwa wamagharibi, hawa hata nguruwe wanakula kwa raha zao
 
swala ni kwamba ni muislam aliyeolewa na familia ambayo uislam sio dini tu kwake ila ni tamaduni kabisa.

ndio maana wananzengo wanahoji,iweje apuuzie vazi maalufu la dini yake??
Waarabu wa Jordan na hata huko Emirates sidhani kama wako very strict na mila za kiislamu, hasa vijana wadogo.

Wewe mcheki tu huyo mtawala wa Dubai na hao wake zake na watoto hata hawajifuniki mitandio wala nini ni uzungu kwa kwenda mbele.
 
Hopeful walipata Dr mzuri wa kurepair moyo uliovunjika.b
 
Dah mkuu asante kwa hii comment. Sikujua hili kabisa
Maghayo,

Huyo Haya alikuwa mke mdogo kwa Maktoum maana mzee kabla hajamuoa Haya alikuwa na wake watano.

Kwa kuwa Haya ni mzungu kwa asili na amekulia sana Uingereza ni dhahiri asingeweza kuwa achungwa tuu masaa yote hivyo ikawa ni lazima awe na uhusiano na huyo mlinzi.

Hata alipokimbilia Uingereza ile 2019 ni katika kumkimbia mzee ambae alikuwa akiwachunga sana na hata kuwateka mabinti wawili Latifa na Shamsa ambao Haya ni mama yao mdogo.

Haya aliolewa na Sheikh Mohammed mwaka 2004 na akapata watoto wawili Al Jalila na Zayed hao walio kwenye picha.

Mzee alimpenda sana Haya hivyo walipotengana ilibidi mzee atumie vifaa vya kijasusi vya kutega mawasiliano maarufu kama Pegasus ambavyo vyatengenezwa Israeli. Hapo alikuwa na uwezo wa kusikiliza mawasiliano yote ya Haya, mlinzi wake na wengine walomzunguka.

Lakini mwishowe alikubali kuachana na Haya na wakasettle kiasi kikubwa sana cha fedha.
 
Wao siyo malimbukeni wa dini.


Hakuna ulimbukeni kwenye dini , kila mtu ataubeba mzigo wake , Maisha haya ni kila sekunde historia na ni ya kupita tu na ni mtihani uwe masikini au uwe tajiri utaelekea kwenye mchanga tu
 
Google imekuwa ndio biblia ??
 
Mohammed na Yesu ni mbingu na ardhi, mmoja anahubiri jihadi na visas, mwingine anasema usilipize kiasi na mtu akikupiga shavu moja mgeuzie lingine, Yesu anasema mke mmoja, Mwingine alioa hadi mtoto wa miaka 14.
 
Mohammed na Yesu ni mbingu na ardhi, mmoja anahubiri jihadi na visas, mwingine anasema usilipize kiasi na mtu akikupiga shavu moja mgeuzie lingine, Yesu anasema mke mmoja, Mwingine alioa hadi mtoto wa miaka 14.


Maneno yako ni kweli kabisa kwani Biblia inasema

Kumbukumbu la Torati 23:2 SRUV​

Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa BWANA; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa BWANA.


Na tumwangalie Bwana Yesu kama biblia ilivyoandika

Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu.

Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo mnang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi mjuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano
wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).


Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nani?


Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuliwa kwa mikono ya waandishi,
karibuni katika dini ya Kiislamu.
 
Unajua kuna watu ni wajinga wa kupindukia.

Wao wanaumia wakiona Muislam amejistir vzr wanataka wavae vile wapendavyo wao.

Me huwa najiuliza kwan wakikuta mtu amjistiri vizur wao wanathirika wapi?.

unakuta watu wanabeba chuki na kumkejeli yule alievaa vizr na kujistiri.
Ni wapumbavu wa kutupwa.
 
Huna hoja hapo, mimi nimelinganisha Mohamed na Yesu, wewe umekuja na ukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…