Hata wakati wa mtume watu hao walikuwepoHawavai Baibui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakati wa mtume watu hao walikuwepoHawavai Baibui?
kuna jipya gani hapo wewe 'mdudu'? Mwanamme muislamu anaruhusiwa kuoa mwanamke mkristo. Hata huyo Alia unamjua asili yake? Hebu angalia picha yake vizuri.... kumbukumbu level ya kuku labda; Princess Haya bint Hussein - Wikipedia
hakuna shida ya aliyesilimu kumwita muislamu, lakini inawezekana pia watoto wakafuata mila za wajomba zao.so kwavile alibadili sio sawa kumwita muislam??
Waarabu wenzie mtume walimpiga mawe,wakamfukuza mjini,wakapigana nae Vita kupinga uislam,so ukisoma neno makafiri,washirikina nk kwenye Qur'an jua hao walikua waarabu,so uislam si Mali ya muarab,palikua na Bilal bin rabah,mfuasi wa mwanzo wa mtume alikua mndengereko pureDini ni ya muarabu boss. Utake ni hivyo usitake ni hivyo hivyo tuu
Ibrahim ni mu-iraq,na hakuwa mkiristo Wala myahudi,Bali mnyenyekevu(Islam) kwa mola wake🔹 Hakuna Mtume mwarabu
🔹 Hakuna dini iitwayo ya kiislam iliwahi kuhubiriwa Wala kutabiriwa na manabii wa kiyahudi
swala ni kwamba ni muislam aliyeolewa na familia ambayo uislam sio dini tu kwake ila ni tamaduni kabisa.hakuna shida ya aliyesilimu kumwita muislamu, lakini inawezekana pia watoto wakafuata mila za wajomba zao.
Na ukristo dini ya nani?tafuta quran ya kisukuma uone kama utaipata , dini ya waarab hiyo , kiherehere chenu tu
Waarabu wa Jordan na hata huko Emirates sidhani kama wako very strict na mila za kiislamu, hasa vijana wadogo.swala ni kwamba ni muislam aliyeolewa na familia ambayo uislam sio dini tu kwake ila ni tamaduni kabisa.
ndio maana wananzengo wanahoji,iweje apuuzie vazi maalufu la dini yake??
Hopeful walipata Dr mzuri wa kurepair moyo uliovunjika.bMzuka wanajamvi.
Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe.
Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya bint Hussein na mlinzi ndoto za MBS zikatoweka baada ya Hawa kutorokea uingereza na huyo binti pamoja na mdogo wake.
Inasemekana MBS ali huzunika sana. Hako kasichana ni pisi balaa.
Mfalme/mtawala wa Dubai na familia ya Salman ni marafiki wakubwa sana. Na walitaka kuimarisha urafiki zaidi bond kwa MBS kuoana na hako kabinti ambaye sasa hivi ni miaka 17.
Source: mama yake huyo binti Haya binti Hussein ambaye ni mdogo wake king Hussein wa Jordan alipokuwa akitoa ushaidi mahakmani uingereza.
View attachment 2900801View attachment 2900802
Maghayo,Dah mkuu asante kwa hii comment. Sikujua hili kabisa
Wao siyo malimbukeni wa dini.
Google imekuwa ndio biblia ??Huyo mfalme wa Dubai ana sura ya kihindi wale South India.. Pia Wanaojiita Waarabu wa Qatar nao ni wahindi pia.. Kahaba pia asili yake ya kuwarship ni from India too kwa kila kitu.. kuvaa lubega after hija ya uchi kukatazwa, kuzunguka na kutupa mawe kumpiga shetani ni ibada complete ya wapagani hindu.. just google it
Mohammed na Yesu ni mbingu na ardhi, mmoja anahubiri jihadi na visas, mwingine anasema usilipize kiasi na mtu akikupiga shavu moja mgeuzie lingine, Yesu anasema mke mmoja, Mwingine alioa hadi mtoto wa miaka 14.Ukirudi kwemye point zangu za juu..nimeeleza vizuri.kuwa ujumbe wa kila mtume ni kuhubiri MUNGU MMOJA.sasa Muhammad na yesu watatofautiana vipi wakati wamepewa ujumbe mmoja?na ndo maana hata vitabu vyao vinafanana.kama wasingekuwa na ujumbe mmoja vitabu walivyopewa visingefanana.sijui umeelewa?
Mohammed na Yesu ni mbingu na ardhi, mmoja anahubiri jihadi na visas, mwingine anasema usilipize kiasi na mtu akikupiga shavu moja mgeuzie lingine, Yesu anasema mke mmoja, Mwingine alioa hadi mtoto wa miaka 14.
Unajua kuna watu ni wajinga wa kupindukia.Ww ndio mjinga hapa duniani kila mtu alizaliwa peke yake atakufa peke yake ,atazikwa peke yake,ataulizwa peke yake,ata hukumiwa peke yake na ataadhibiwa peke yake.
Siku ya hukumu hutoenda mbele ya Mungu na kujitetea kuwa nilifanya hili kisa fulani alikuwa anafanya.
Suala la yeye kutovaa hijabu yeye ndo atajua atacho jibu mbele ya Mungu wake na sio waisilam wengine.
Mbele ya mwenyezi mungu kila mtu atahukumiwa kutokana na matendo yake hapa duniani na sio kwa cheo,nguvu,umaarufu na fedha alizo kuwa nazo.
Alafu kila mtu ana haki ya kuvaa anavyo taka, ww kama unaona ni haki yako kuvaa vimini basi na wengine wana haki ya kuvaa hizo unazo ita gubi gubi la msingi amelinunua kwa hela yao.
Huna hoja hapo, mimi nimelinganisha Mohamed na Yesu, wewe umekuja na ukooManeno yako ni kweli kabisa kwani Biblia inasema
Kumbukumbu la Torati 23:2 SRUV
Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa BWANA; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa BWANA.
Na tumwangalie Bwana Yesu kama biblia ilivyoandika
Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.
Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.
Biblia inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).
3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).
4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).
Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu.
Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.
Na kama Wakristo mnang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi mjuwe kwamba Biblia inasema:
“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano
wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).
Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.
Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nani?
Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuliwa kwa mikono ya waandishi,
karibuni katika dini ya Kiislamu.