Mtazamo huru: Kizazi cha wanaume wa miaka ya 1980s hadi 1990s ndo cha mwisho kufaidi mapenzi ya kweli kutoka kwa wanawake

halafu hauambiwi chochote ukiona kimya wiki nzima anza kujiuguza bila kutoa milio
Na katika hili mara zote hasara inakua upande wa mwanaume kwa sababu ndie mwekezaji kwenye mahusiano, that's why everyday i tell my fellow brothers here to stay sharp, relationships are not what they used to be, the game has changed. Understand what you are getting into, set high standards and never settle for less
 
👏👏👏👏
 
Upo sahihi kataa ndoa na MASIMP wengi ni born after 1990,..........miaka ile hata wanawake wanaosoma walikua wachache,
Juzi kati Kuna mtu kamvisha Pete kwa kumpigia magoti, dada alikua anakaa geto na mshikaji chuo,anagongwa akagongeka,
 
Siku hizi akiacha kukuomba hela ya Kucha,kipodozi,Nywele,Nguo,Simu au Boda,ujuwe hapo una bahati ya mtende...
Na ujue kila mtu anasave purpose yake kuna wewe ambae unaombwa hela halafu kuna boda ambae anakula kisela
 
Ndiyo usiseme wanaume tu hapana, sema mapenzi ya siku hizi! Siku wanaume wanasusa Hadi kumgusa mkewe, wazee wazamani walifundishwa kwanza kitanda 2*6 unamkwepa vipi mwenzio!±
Ofcoz mambo yamebadilika sana na utandawazi umeathiri sana mahusiano
 
Nimecheka saaana aseh!!,kweli enzi hizo ilikuwa raha sana ase,pengine demu kumpata hadi mchezo wa kombolela,mnamalizana huko kwenye pagala duh!!wenzenu wanabaki kushangaa tu,mbona fulani na fulani hawaonekani?,ndo kipindi hicho demu anakuonea haibu wala hakutazami usoni,anabaki kuvunja tu vijiti na kuuma vidole kwa haibu ya hali ya juu,leo hii anakudolea macho hadi kwenye shughuli yenyewe, Wala hakuna radha wala miguno duh,kizazi cha leo kina hasara!!!
 
Dah kombolela iliumiza mabinti wengi sana ukizingatia mara nyingi inachezwa mida ya jion jion ,unakuta john anakuja kubutua kombolela kavaa gauni la happy 😀😀
 
Haibu = aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…