Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Mapenzi ya sasa hivi kila mmoja anaji-adjust kitaalamu, atakaeingia kwenye mfumo wa mwenzake anapigwa upper cut mechi imeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu hauambiwi chochote ukiona kimya wiki nzima anza kujiuguza bila kutoa milioMapenzi ya sasa hivi kila mmoja anaji-adjust kitaalamu, atakaeingia kwenye mfumo wa mwenzake anapigwa upper cut mechi imeisha
Na katika hili mara zote hasara inakua upande wa mwanaume kwa sababu ndie mwekezaji kwenye mahusiano, that's why everyday i tell my fellow brothers here to stay sharp, relationships are not what they used to be, the game has changed. Understand what you are getting into, set high standards and never settle for lesshalafu hauambiwi chochote ukiona kimya wiki nzima anza kujiuguza bila kutoa milio
👏👏👏👏Na katika hili mara zote hasara inakua upande wa mwanaume kwa sababu ndie mwekezaji kwenye mahusiano, that's why everyday i tell my fellow brothers here to stay sharp, relationships are not what they used to be, the game has changed. Understand what you are getting into, set high standards and never settle for less
Upo sahihi kataa ndoa na MASIMP wengi ni born after 1990,..........miaka ile hata wanawake wanaosoma walikua wachache,Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na ndani unakutana na dedication za nyimbo bomba enzi hizo kama Mimi na wewe Mr blu, Nataka niwe na wewe milele , LOVE YOU wyclef Jean,When i see you Fantasio n.k ukiachilia hilo mambo mengine yaliyofanya mapenzi ya enzi zile kuwa na kumbukumbu ya kipekee ni kama yafuatayo.
1. Hakukuwa na simu mkononi so appointment ni zile za kusubiriana sehemu ama kumtuma shoga ake demu akuletee hadi eneo la tukio na kama anakuja kwa daladala basi mlume ukagande stand siku nzima macho kwenye kila abiria anaeshuka 😀 but yet hakukuwa na fake promise ingawa uvumilivu ulihitajika sio poa
2. Msoto unaopitia mpaka kumuweka demu sawa yaani kama una nyota nzuri ni mwaka mmoja hapo sizungumzii kuja kupewa tunda special
3. Pisi ikija home kupewa tunda kidume hadi utoe chozi ila uzuri hakuna kuombana nauli wala hela ya kusuka yaani sometime pisi unaipa hela inakataa 😀
4. Possibility ya kukutana na binti bikra ilikuwa kubwa au tena unamkuta mtu ana feelings kama zote kwenye tendo siku hizi binti unapeleka moto simu yake ikiita utasikia anasema " Atakuwa Mama huyo ananitafuta "😀
Sema nyi madogo wa 2000 siku hizi mnapigwa sana .
Na ujue kila mtu anasave purpose yake kuna wewe ambae unaombwa hela halafu kuna boda ambae anakula kiselaSiku hizi akiacha kukuomba hela ya Kucha,kipodozi,Nywele,Nguo,Simu au Boda,ujuwe hapo una bahati ya mtende...
Ndiyo usiseme wanaume tu hapana, sema mapenzi ya siku hizi! Siku wanaume wanasusa Hadi kumgusa mkewe, wazee wazamani walifundishwa kwanza kitanda 2*6 unamkwepa vipi mwenzio!±Mimi ni mwanaume nazungumzia experience yangu atatokea mwanamke pia nae atazungumzia experience yake
Ofcoz mambo yamebadilika sana na utandawazi umeathiri sana mahusianoNdiyo usiseme wanaume tu hapana, sema mapenzi ya siku hizi! Siku wanaume wanasusa Hadi kumgusa mkewe, wazee wazamani walifundishwa kwanza kitanda 2*6 unamkwepa vipi mwenzio!±
🤣Ngumi sungunyoMapenzi ya sasa hivi kila mmoja anaji-adjust kitaalamu, atakaeingia kwenye mfumo wa mwenzake anapigwa upper cut mechi imeisha
Siku hz kuna SGR 😀🤣Ngumi sungunyo
Nimecheka saaana aseh!!,kweli enzi hizo ilikuwa raha sana ase,pengine demu kumpata hadi mchezo wa kombolela,mnamalizana huko kwenye pagala duh!!wenzenu wanabaki kushangaa tu,mbona fulani na fulani hawaonekani?,ndo kipindi hicho demu anakuonea haibu wala hakutazami usoni,anabaki kuvunja tu vijiti na kuuma vidole kwa haibu ya hali ya juu,leo hii anakudolea macho hadi kwenye shughuli yenyewe, Wala hakuna radha wala miguno duh,kizazi cha leo kina hasara!!!Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na ndani unakutana na dedication za nyimbo bomba enzi hizo kama Mimi na wewe Mr blu, Nataka niwe na wewe milele , LOVE YOU wyclef Jean,When i see you Fantasio n.k ukiachilia hilo mambo mengine yaliyofanya mapenzi ya enzi zile kuwa na kumbukumbu ya kipekee ni kama yafuatayo.
1. Hakukuwa na simu mkononi so appointment ni zile za kusubiriana sehemu ama kumtuma shoga ake demu akuletee hadi eneo la tukio na kama anakuja kwa daladala basi mlume ukagande stand siku nzima macho kwenye kila abiria anaeshuka 😀 but yet hakukuwa na fake promise ingawa uvumilivu ulihitajika sio poa
2. Msoto unaopitia mpaka kumuweka demu sawa yaani kama una nyota nzuri ni mwaka mmoja hapo sizungumzii kuja kupewa tunda special
3. Pisi ikija home kupewa tunda kidume hadi utoe chozi ila uzuri hakuna kuombana nauli wala hela ya kusuka yaani sometime pisi unaipa hela inakataa 😀
4. Possibility ya kukutana na binti bikra ilikuwa kubwa au tena unamkuta mtu ana feelings kama zote kwenye tendo siku hizi binti unapeleka moto simu yake ikiita utasikia anasema " Atakuwa Mama huyo ananitafuta "😀
Sema nyi madogo wa 2000 siku hizi mnapigwa sana .
Dah kombolela iliumiza mabinti wengi sana ukizingatia mara nyingi inachezwa mida ya jion jion ,unakuta john anakuja kubutua kombolela kavaa gauni la happy 😀😀Nimecheka saaana aseh!!,kweli enzi hizo ilikuwa raha sana ase,pengine demu kumpata hadi mchezo wa kombolela,mnamalizana huko kwenye pagala duh!!wenzenu wanabaki kushangaa tu,mbona fulani na fulani hawaonekani?,ndo kipindi hicho demu anakuonea haibu wala hakutazami usoni,anabaki kuvunja tu vijiti na kuuma vidole kwa haibu ya hali ya juu,leo hii anakudolea macho hadi kwenye shughuli yenyewe, Wala hakuna radha wala miguno duh,kizazi cha leo kina hasara!!!
Haibu = aibu.Nimecheka saaana aseh!!,kweli enzi hizo ilikuwa raha sana ase,pengine demu kumpata hadi mchezo wa kombolela,mnamalizana huko kwenye pagala duh!!wenzenu wanabaki kushangaa tu,mbona fulani na fulani hawaonekani?,ndo kipindi hicho demu anakuonea haibu wala hakutazami usoni,anabaki kuvunja tu vijiti na kuuma vidole kwa haibu ya hali ya juu,leo hii anakudolea macho hadi kwenye shughuli yenyewe, Wala hakuna radha wala miguno duh,kizazi cha leo kina hasara!!!
OkHaibu = aibu.