Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

Mimi hadi katuni naangalia na sijali.
Pambaneni na tamthilia katuni ziacheni. Hazipo ktk mada. Kwa mfano Tom and Jerry produced by Feed Quimb, Samurai Jack, kind Next door, Eddy, Edd and Eddie hizi zote hazijatajwa so mziache tu
Hahaaa
 
Unajua series ya game of throne
Snow fall
Bmf
Breaking bad
Mzee zitazame hizo alafu uje kufuta huu uzi
 
Kwa hiyo hata wale wanaume waliocheza hizo tamthiliya nao ni wajinga tu... Au siyo Mkuu???
 
Unaweza tu kutoa maoni yako na yakaheshimiwa pasi na kutoa lugha chafu.....hapa ni jukwani tu kila mmoja ana maoni na mtazamo wake
Wewe hujaona kuwaita wanaume wanaopenda tamthiliya usizopenda wewe kuwa hawana masculinity ni lugha chafu ya kuwavunjia heshima?

Kweli nyani haoni kundule.
 
Wewe hujaona kuwaita wanaume wanaopenda tamthiliya usizopenda wewe kuwa hawana masculinity ni lugha chafu ya kuwavunjia heshima?

Kweli nyani haoni kundule.
Siku sema hawana masculinity.....
 
Wanaumeee! Eehhhhhh
 

Attachments

  • Screenshot_20241114_212942_Netflix.jpg
    185.5 KB · Views: 1
Asilimia kubwa kutokana na michango ya wadau nimegundua wakina nani wanaogopa Mende na Panya na wA wale specialist wa kuuwa Nyoka mtaani haya vita viendelee.
 
Wale ambayo wanaigiza kwenye hizo Tamthilia sio wanaume wenzetu kwani?

Acha hisia za kitoto mkuu.Ukishikiwa akili za mitandao huta fanya mambo yako maana umekubali mitandao ikuwekee mipaka.

Binafsi Mimi naangalia Tamthilia na movie.Wakati mwingine naweka sinema zetu Azam.

Lakini Chanel yangu kubwa au kipindi changu kikubwa ni Tanzania Safari Channel.
Tena nikiangaliaga na Wife nakuwa naenjoy Sana hizo Tamthilia Mzee wangu.
 
Kulia ni tiba dogo, ndio maana mnajiua na kufa kizembe.
Ukihisi kudondosha chozi donsosha, jicho ni lako, chozi ni lako na kama vidi yadake machozi yako ili usikere watu kabisa.
La mwiiiisho kabisa na majalio ni ya.....
 
Tatizo ni ujinga tu, hata maana ya tamthiliya hujui.

Hujui kwamba inawezekana ikawepo tamthiliya ya vita.

Na hiyo masculinity mnayoisema ukiichunguza sana ni mnajimwambafy kijinga kimfumodume tu.
Daaa Hii Comment nimelia peke yangu eti nalo ni Dume!
 
Acha izo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…